Radio Tadio

Habari za Jumla

1 Oktoba 2021, 1:31 um

afariki dunia baada ya kudondokewa na matofali ya udongo

Mtoto wa miaka 03 Agnes Charles Masanja mkazi wa Kijiji cha Mwanzangamba kata ya Mwanyahima wilaya ya Meatu mkoani Simiyu amefariki dunia baada ya kudondokewa na matofali ya udongo katika nyumba yao. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi…

Oktoba 1, 2021, 11:26 mu

Mbunge aendelea kuchangia ujenzi wa shule za sekondari

Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini mkoani Shinyanga, Jumanne Kishimba amechangia millioni moja laki mbili na elfu hamsini kwa ajili ya ununuzi vifaa vya ujenzi wa shule ya sekondari ya Kata ya Kagongwa. Akizungumza katika ziara yake aliyoifanya ya kutembelea…

29 Septemba 2021, 10:22 mu

Auawa kwa kisu kisa 1000 ya kamali

Ni Jumanne Jackson miaka 21 mkazi wa mtaa wa kabusule Kata ya Nyamakokoto Halmashauri ya Mji wa Bunda amechomwa kisu nakupoteza Maisha katika ugomvi wa kamali Tukio hilo limetokea September 28, 2021 majira ya jioni ambapo kwa kujibu wa mashuhuda…

Septemba 28, 2021, 8:36 um

Wanaume chanzo cha ukatili wa kijinsia

Imeelezwa baadhi ya wanaume ndio chanzo kikubwa cha ukatili wa kijinsia katika jamii kutokana na kutokua tayari kupokea mabadiliko ya kupinga vitendo vya ukatili wilayani Kahama Mkoani Shinyanga. Kauli hiyo imetolewa na Mratibu mradi wa MWANAMKE AMKA Joyce Michael wakati…

28 Septemba 2021, 1:15 um

Tamau: kamati yasiasa yakaa nakuamua

Akizungumza katika ufunguzi wa kikao hicho Mwenyekiti wa CCM tawi la Tamau, Matale Kikoi amesema ni kwa muda sasa kumekuwa hakuna mahusiano mazuri kati ya viongozi wa chama na serikali katika mtaa wa Tamau jambo linalokwamisha utekeleza wa shughuli za…