Radio Tadio

Habari za Jumla

30 Novemba 2021, 11:14 um

MABARAZA YA HAKI YAGAWIWA KONDOO NGORONGORO

Na Edward .S.Shao. Baraza la wanawake wakifugaji Pastoral Women Council-PWC-kupitia shirika la Norway -NODAK- lagawa kondoo 168 kwa mabaraza saba ya haki na uongozi wa wanawake wilayani Ngorongoro. Akizungumza katika hafla hiyo Novemba 29, 2021 ya ugawaji wa kondoo hao…

28 Novemba 2021, 8:00 mu

Mtelela:-TAKUKURU ichunguzeni TARURA Bunda mjini

Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salum Mtelela ameelekeza TAKUKURU Wilaya ya Bunda kuichunguza TARURA Bunda Mjini kutokana na malalamiko mbalimbali ya utekelezaji usiyofaa wa miradi ya miundombinu ya Barabara ndani ya Halmashauri ya Mji wa Bunda Maelekezo hayo ameyatoa kwenye…

27 Novemba 2021, 6:28 um

Mkoa wa Simiyu wapunguza vifo vitokanavyo na Uzazi kwa Asilimia 50% …

Mkoa  wa  Simiyu  umefanikiwa  Kupunguza vifo  vitokanavyo  na  Uzazi  kwa  Asilimia   50%   kwa  Robo  ya  mwezi   Julai,  August  na  mwezi  Septemba 2021  huku   Upatikanaji  wa  Dawa   Ukiongezeka  kutoka  Asilimia  70%  hadi  kufikia  Asilimia  90%. Hayo  yamesemwa  na   Mkuu wa  mkoa …

23 Novemba 2021, 9:34 mu

TANLAP yawajengea uwezo wasaidizi wa kisheria Rungwe

RUNGWE Kaimu mkurugenzi kutoka mtandao wa Mashirika yanayotoa msaada wa kisheria Tanzania [TANLAP] MCHELELI MACHUMBANA ameitaka jamii kujua sheria mbambali ili kukabiliana na unyanyasaji uliopo kwenye maeneo yao. Ametoa kauli hiyo mbele ya wasaidizi wa kisheria waliopo wilayani Rungwe mkoani…