Radio Tadio

Habari za Jumla

3 Januari 2022, 9:46 mu

Madarasa 24 yakamilikika kwa asilimia 100

RUNGWE-MBEYA Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Busokelo Bi, LOEMA PETER  amekabidhi takribani vyumba vya madarasa 24 kwa Mkuu wa wilaya ya Rungwe  baada ya kumalika ndani ya muda ulio pangwa. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na kituo hiki huku akieleza…

29 Disemba 2021, 11:50 mu

WILAYA YA MASWA YATAJWA KUONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI …

Imeelezwa  kuwa  wilaya  ya  maswa  inaongoza  kwa  maambukizi  ya Virusi  ya  Ukimwi (VVU)   Ikifuatiwa  na  Wilaya  Busega  katika  mkoa   wa  Simiyu. Hayo  yameelezwa  na  Mratibbu  wa  Ukimwi  mkoa  wa  Simiyu   Dr  Hamis   Kulemba  wakati   akizungumza  na  Radio   Sibuka.            Dr …

24 Disemba 2021, 5:45 mu

Umbali chazo cha unyanyasaji wilayani Rungwe

Umbali wa malezi uliopo baina ya wazazi, walezi, walimu na watoto imetajwa kuwa moja kati ya sababu zinazopelekea kushamiri kwa vitendo vya unyanyasaji dhidi ya watoto wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Aidha jamii imetakiwa kuwalinda zaidi watoto huku wazazi wakitakiwa kujenga…

17 Disemba 2021, 3:50 MU

Taarifa kwa vyombo vya habari

  ikumbukwe tu tarehe 13/12/2021 katika Mahakama ya Wilaya ya Masasi, ilitolewa hukumu ya kesi namba ECC.10/2021  iliyokuwa ikiwakabili washitakiwa RASHID MTIMA na mwenzake. Washtakwa hao wanakabiliwa na makosa 02 kifungu cha 22 na 28 cha sheria ya TAKUKURU namba…