Habari za Jumla
2 July 2025, 8:56 pm
TASAF Kutoa million 114,220,000 Ruzuku kwa kaya 3,896 Ruangwa kuanzia leo July…
Na Loveness Josefu.Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, umeanza leo Jumatano, tarehe 2 Julai 2025, zoezi la malipo ya ruzuku kwa kaya 3,896 za walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kutoka…
2 July 2025, 8:39 pm
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza rasmi kutogombea tena Ubunge Ruangwa
Na Loveness Joseph. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, leo Julai 2, 2025, ametangaza rasmi kutogombea tena nafasi ya ubunge wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu ujao, baada ya…
2 July 2025, 6:58 pm
Mwenge wa uhuru kukagua miradi 8 Babati mji
Jumla ya miradi nane yenye thamani ya sh Bilion 3.29 inatarajiwa kukaguliwa na kuwekewa mawe ya msingi wakati wa mbio za mwenge wa uhuru kwenye halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara ambapo utakimbizwa julai 15 mwaka huu. Na Mzidalfa…
29 June 2025, 4:17 pm
Miaka minne bila huduma ya maji kwa pengo
Ni zaidi ya miaka minne katika kijiji cha kwa pengo shehia ya Sizini wameendelea kukosa huduma ya maji safi na salama ambapo ni jambo la msingi na muhimu kwa matumizi ya binadamu ya kila siku . Na Fatma Faki WANANCHI…
29 June 2025, 12:29 am
Wanawake wenye ulemavu wahamasishwa kushiriki katika mchakato wa ADP
Lengo la mafunzo hayo ni kuwawezesha wanawake kuelewa Mkataba wa Afrika wa Haki za Watu Wenye Ulemavu (African Disability Protocol – ADP) na kujifunza mbinu mbalimbali za kuutetea. Na Mary Julius Wanawake wenye ulemavu wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kutoa maoni…
28 June 2025, 9:52 pm
UWT yataka wanawake kuchukua hatua uchaguzi mkuu
Chama cha Mapinduzi CCM kimeanza mchakato wa utoaji fomu za kuwania nafasi mbali mbali kupitia kura za maoni ndani ya chama . Na Is-haka MohamedMakamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya wanawake UWT Tanzania Zainab Khamis Shomar amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi…
28 June 2025, 10:08 am
Shairi: Waweza panda Jahazi ili kwangu unijie
27 June 2025, 1:24 pm
Lindi yaadhimisha siku ya wajane kimkoa
Na khadja Omari Mkuu wa Wilaya ya Lindi Bi Victoria Mwanziva, amesema Serikali ya awamu ya sita inatambua na itaendelea kufanya jitihada mbalimbali za kuwawezesha wajane kama ilivyo kwa makundi mengine, kuwapa stahiki zao ikiwa pamoja na utatuzi wa matatizo…
26 June 2025, 11:28 am
Rushwa ya ngono inavyochangia Wanawake kushindwa kuwania nafasi za uongozi
Karibu usikilize makala maalum inayohusu Rushwa ya ngono inavyopelekea wanawake kushindwa kuwania nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika october mwaka huu. Na Hawa Rashid Makala hii imezungumza na viongozi wa takukuru, wananchi pamoja viongozi wa vyama vya siasa.
26 June 2025, 8:47 am
Dereva bajaji Katavi auwawa
Mahali ulipopumzishwa mwili wa Silavius. Picha na Leah Kamala “Ni tukio ambalo haulitegemei linatokea katika utafutaji” Na Leah Kamala Kijana mmoja mwendesha pikipiki ya magurudumu matatu maarufu kama bajaji kata ya Nsemulwa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi Silavius Nestory Kameme…