Radio Tadio

Habari za Jumla

7 Juni 2022, 1:46 um

Halmashauri ya Pangani kugawa miche 544,000 ya Mkonge.

Halmashauri ya wilaya ya Pangani mkoani Tanga kupitia idara ya Kilimo imefanikiwa kukuza miche 544,000 ya zao la Mkonge. Akizungumza katika mahojiano na Pangani FM leo Afisa kilimo wa Halmashauri hiyo Bw. Ramadhani Zuberi amesema miche hiyo imekuzwa katika vitalu…

25 Mei 2022, 4:23 um

TAKUKURU: WANANCHI TUSHIRIKIANE KUTOMEZA RUSHWA

Jamii mkoani katavi imeaswa kushirikiana na tasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuku  katika kutokomeza  vitendo vyote vya rushwa mkoani hapa. Wito huo umetolewa na  Mkuu wa Takukuru Mkoani katavi Festo Mdede wakati akitoa taarifa  ya utendaji kazi wa…

24 Mei 2022, 8:08 um

Ubalozi wa Ireland wafanya ziara Pangani.

Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania jana umefika hapa wilayani Pangani Mkoani Tanga ili kujionea Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika la UZIKWASA ambalo linafadhiliwa na mpango maalum wa Serikali ya Ireland wa misaada ya maendeleo ya kimataifa [Irish Aid].    …

23 Mei 2022, 2:12 um

MAADHIMISHO YA SIKU YA NYUKI KATAVI

KATAVI Kufatia maadhimisho ya siku ya nyuki duniani mkuu wa mkoa wa katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka watanzania kutunza mazingira kwa kuhifadhi misitu ili kuongeza thamani ya mazao ya mdudu nyuki. Akizungumza katika sherehe za maadhimisho ya siku ya nyuki duniani…

23 Mei 2022, 1:56 um

MIGOGORO WAKULIMA NA WAFUGAJI HALI TETE

KATAVI. Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Karema  mkoani katavi wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kutatua mgogoro   kati ya wakulima na wafugaji kabla haujaleta madhara makubwa katika  jamii. Wakulima hao wameiambia mpanda radio fm kuwa ugomvi kati ya wafugaji…

23 Mei 2022, 1:03 um

DC TANGANYIKA UMEME KAREMA KABLA YA MAY 20

KATAVI. Mkuu wa wilaya ya tanganyika onesmo buswelu amelitaka shirika la umeme mkoa wa katavi kuunganisha umeme katika bandari ya karema kabla ya may 20 mwaka huu kwakuwa mradi huo upo katika hatua za mwisho kukamilika. Buswelu ametoa angizo hilo…

19 Mei 2022, 3:12 um

Wabunifu waiomba serikali kuendelea kuwawezesha

Na;Mindi Joseph. Wabunifu wameiomba serikali kuendelea kuwawezesha ili kuendeleza Bunifu zao kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa maendeleo ya Taifa. Taswira ya habari imezungumza na Mkufunzi wa mafunzo ya matengenzo ya ndege kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji Juma Msofe…