Habari za Jumla
18 August 2024, 8:59 pm
NCAA: Shughuli za utalii zinaendelea Ngorongoro pamoja na uwepo wa maandamano
Idadi kubwa ya wananchi wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro wameandamana hii leo Agosti 18,2024 wakishinikiza serikali iwasikilize na kutatua kero zao mbalimbali zinazowakabili. Na mwandishi wetu. Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kuwa shughuli za utalii bado zinaendelea katika…
17 August 2024, 06:17
Kurasa za magazeti Agosti 17, 2024
August 16, 2024, 10:29 pm
Takukuru Nyasa yatoa elimu kupambana na rushwa kuelekea uchaguzi selikali za mit…
Taasisi ya kuzui na kupamba na rushwa (TAKUKURU) wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma inaendele na zoezi la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kupiga vita vitendo vya rushwa wakati taifa likielekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Akizungumza na waandisha wa…
16 August 2024, 22:22
Wananchi Igodima waomba kujengewa ofisi ya mtaa
Katika kurahisisha upatikanaji wa huduma bora na karibu na wananchi hurahisishwa na ofisi zilizo karibu,katika mtaa wa Igodima jijini Mbeya kwao hali hiyo imekuwa tofauti na wananchi wa mitaa mingine. Na Hobokela Lwinga Baadhi ya wananchi mtaa wa Igodima Kata…
16 August 2024, 4:59 pm
Jamii yatakiwa kujitokeza kutoa ushahidi kesi za udhalilishaji
Na Steven Msigaro Jeshi la Polisi Mkoa Mjini Magharibi kupitia Dawati la Usalama Wetu Kwanza limesema linaendelea na mapambano dhidi ya udhalilishaji wa watoto kwa kutoa elimu maskulini. Wakizungumza katika kipindi cha Mwangaza wa Babari kinachorushwa na Zenji fm Sajenti…
16 August 2024, 11:33 am
Wahandzabe Meatu wanavyotumia king’amuzi cha ndege pori kuipata asali
Wandzabe walia na Sheria za usimamizi wa wanyama pori na mapori tengefu kuwa zimechangia kuhafifisha usitawi wa jamii hizo na kusababisha hatari ya kutoweka kwa jamii hizo zinayoishi porini. Na,Alex Sayi. Jamii ya kihandzabe imebainisha kuwa kwa miaka nenda rudi…
August 15, 2024, 11:06 pm
Dereva, utingo na abiria wafariki ajali ya malori kugongana uso kwa uso
Watu watatu wamefariki dunia kwa kuteketea kwa Moto huku Wengine Watatu wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha Malori mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Manzese wilayani Kahama mkoani Shinyanga huku chanzo cha ajali hiyo kikitajwa kuwa Uzembe na Mwendokasi. Kamanda…
August 15, 2024, 10:45 pm
Mwenge wa Uhuru wazindua Jengo jipya la uchunguzi Kahama
watumishi wa sekta za afya endeleeni kutoa huduma nzuri kwa wananchi baada ya serikali kutengeneza miundombinu rafiki kufanyia kazi Na Kitila Peter Halmashauri ya manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imepongezwa kwa kuendelea kutenga fedha za mapato ya ndani kwa ajili…
14 August 2024, 11:28 am
Kijana apewa kichapo kwa tuhuma za kuiba Tsh. 70,000 Katoro
Soko la CCM ni soko mama lililopo katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro ambalo limekuwa likitumiwa na watu kutoka katika vijiji vya Magenge, Nyamalulu, Kaseme, Kasesa, Mabamba nk Na: Nicolaus Lyankando – Geita Kijana mmoja ambaye hakufahamika jina lake…
13 August 2024, 5:47 pm
Kiongozi wako anawashirikisha vijana katika kukabiliana na ukatili wa kijinsia?
Nijuze Radio Show, Kwa mujibu wa Takwimu za Demografia na Afya Tanzania (TDHS) Za mwaka 2015/2016, 40% ya wanawake wenye umri wa miaka 15- 49 wameripoti kufanyiwa ukatili wa kimwili, 17% wameripoti kufanyiwa ukatili wa kingono. Katika mkoa wa Manyara,…