Habari za Jumla
26 January 2022, 8:50 am
Wananchi waitumie wiki ya sheria kupata msaada wa kisheria
RUNGWE-MBEYA Kuelekea kilele cha wiki ya sheria nchini mahakama wilayani Rungwe imewataka wananchi kujitokeza katika maeneo ambayo zoezi la utoaji elimu litakuwa likifanyika . Akizungumza na Radio Chai Kaimu Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Rungwe Bw.Augustine Lugome amesema utaratibu huu …
26 January 2022, 7:55 am
Bunda: Nyumba tatu zabomolewa na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za wizi
Nyumba tatu (slop) za mzee Paul Muhere Maneno mkazi wa mtaa wa Kilimahewa Kata ya Kabarimu halmashauri ya mji wa Bunda Mkoani Mara zimebomolewa na wananchi wenye hasira kali. Akizungumzia na Redio Mazingira fm,mtendaji wa Kata ya Kabarimu Ndugu William…
26 January 2022, 4:49 AM
BARAZA la Madiwani la halmashauri ya mji Masasi limepitisha rasimu ya makisio y…
BARAZA la Madiwani la halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara limepitisha rasimu ya makisio ya bajeti ya mapato na matumizi ya halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha, 2022/2023 ya Sh.23.8 bilioni. Madiwani hao wamepitisha bajeti hiyo ya mapato na matumizi…
24 January 2022, 9:46 pm
Madiwani Missenyi waridhia kujenga uwanja wa michezo
Baraza la Madiwani Missenyi limeridhia Ujenzi wa Uwanja wa Michezo na suala hili kuweka katika mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka mitano. Katika kikao Maalum cha Baraza la Madiwani kilichoketi Jumatatu Januari 24, 2022 kwa ajili ya kupitisha mpango Mkakati…
24 January 2022, 5:06 AM
Uzinduzi wa wiki ya sheria nchini.
MASASI: Uzinduzi wa wiki ya sheria nchini. Matembezi yanaanzia Uwanja wa Fisi hadi Uwanja wa BOMA ambapo uzinduzi rasmi utafanyika. Kaulimbiu: “Zama za mapinduzi ya nne ya viwanda, safari ya maboresho kuelekea Mahakama mtandao” Kaulimbiu hii inahamasisha wananchi kutumia njia…
January 21, 2022, 12:12 pm
zima moto wajipanga kukabiliana na majanga ya moto
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, Hanafi Mkilindi, amesema jeshi hilo limejipanga kikamilifu katika kukabiliana na majanga yatakayotokea kipindi hiki cha mvua.. Akizungumza ofisini kwake leo amesema kwa kushirikiana na wananchi watafanikiwa katika kukabiliana…
20 January 2022, 8:50 pm
Bunda: serikali ya wilaya kumtafuta mwananchi aliyepotea katika mazingira ya kut…
Waakazi wa kata ya Balili halmasahauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wametakiwa kuwa na subira kuhusu kupatikana kwa ndugu yao aliyetoweka katika Mazingira ya kutatanisha.Akizungumza katika kikao cha kupata ufumbuzi wa suala hilo katibu tawala wilaya ya Bunda Salum…
20 January 2022, 7:55 pm
Madarasa 708 yajengwa kwa fedha za UVICO-19 mkoani Mara
Jumla ya madarasa 708 mkoani Mara yamejengwa kupitia mradi wa maendeleo ya ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya UVICO 19. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa Mara Ally Happi wakati wa ziara ya kukagua na kuzindua madarasa 48…
20 January 2022, 10:31 am
Serengeti: Wamuua kikongwe kwa ahadi ya laki tano
Watu wanne akiwemo mwanamke mmoja wakazi wa kijiji cha Rigicha wanashikiliwa na Polisi wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya kikongwe kwa ahadi ya ujira wa sh500,000 wakimtuhumu kwa ushirikina. Hata hivyo taarifa za awali zinadai kwamba hadi wanakamatwa…
13 January 2022, 6:24 am
Watu 14 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano m
Watu 14 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano na abiria wa kawaida katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwa moja ni la abiria aina ya Toyota Hiace na jingine lenye namba za usajili STK 8140 mali ya Serikali lililokuwa limebeba waandishi wa…