Radio Tadio

Elimu

12 Disemba 2022, 4:35 um

WAZAZI TOENI USHIRIKIANO MASHULENI – DC KOMBA.

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi amewataka wazazi na walezi mkoani lindi kuhakikisha wanatoa ushirikiano kwa walimu wa kuzuia utoro kwa wanafunzi ili waweze kusoma na kuyafikia malengo yao. Komba ameyasema hayo Disemba 12, 2022 katika viwanja vya CWT…

7 Disemba 2022, 11:29 mu

Wananchi washiriki maendeleo ya kata Mparanga

Na ;Victor Chigwada.                                                                                      Kuongezeka kwa elimu  ya ushiriki wa maendeleo katika   jamii imesaidia kuongeza nguvu kwa Serikali juu ya utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazo wazunguka wananchi Hayo yanajiri baada ya wananchi wa Kata ya Mpalanga kushiriki pamoja kukusanya fedha na…

2 Disemba 2022, 6:52 mu

Kata ya majeleko yakamilisha ujenzi wa madarasa

Na ;Victor Chigwada .     Ujenzi wa vyumba vya madarasa unaendelea kuwa kipaumbele katika maeneo mengi nchini ili kuendana na sera ya elimu bila malipo ambayo imechangia kuongeza idadi ya udahili wa wanafunzi. Mwenyekiti wa kijiji cha Chinangali one Kata ya…

1 Disemba 2022, 9:55 mu

watahiniwa 2194 wafutiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022 ambapo limetangaza kufuta matokeo yote ya Watahiniwa 2,194 sawa na asilimia 0.16 ya Watahiniwa waliofanya mitihani. NECTA imefikia uamuzi huo siku chache baada ya…

1 Disemba 2022, 7:16 mu

Bahi sokoni waiomba serikali kuongeza madara

Na; Benard Filbert. Wananchi wa wilaya ya Bahi Kata ya Bahi Sokoni wameiomba serikali kuongeza madarasa shule ya Msingi Bahi Sokoni ili kukidhi idadi ya wanafunzi waliopo katika shule hiyo. Wakizungumza na taswira yahabari wamesema ni vyema serikali ika ongeza…

29 Novemba 2022, 8:02 um

Wanafunzi wote mwakani mkoa wa Katavi kula chakula shuleni.

KATAVI Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewaagiza wakurugenzi wa mkoa, kuhakikisha wanafunzi wote watakaojiunga na msimu mpya wa masomo mwaka 2023 wanapata chakula wakiwa shuleni . Agizo hilo amelitoa wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa…

23 Novemba 2022, 5:47 um

Wafanyabiashara wametakiwa kulipa Ushuru

MPANDA Wafanyabiashara Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kutoa ushuru kikamilifu,ili fedha hizo ziweze kusaidia kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwamo ya elimu na afya. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Sofia Kumbuli ambapo amesema kuwa swala…