Radio Tadio

Elimu

3 February 2023, 7:10 pm

Tutatumia sheria kwa wazazi wasiopeleka watoto shule

Na Loveness Daniely. Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi Hassan Ngoma   amesema kuanzia February 6 2023 wataanza kufanya msako mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba kwa kutumia sharia na miongozo iliyopo  kwa wazazi wasio wapeleka Watoto shuleni msako…

2 February 2023, 4:07 pm

Wilaya ya Bahi yapanga kuongeza kiwango cha ufaulu

Wilaya ya Bahi yapanga kuongeza kiwango cha ufaulu kutoka nafasi ya kumi hadi ya tano kitaifa kwa mwaka 2023/2024. Na  Benard Magawa . Halmashauri ya wilaya ya Bahi imeanza  mikakati ya kuhakikisha wanapandisha zaidi ufaulu kwa mwaka 2023 lengo likiwa…

31 January 2023, 12:16 pm

Wazazi hakikisheni watoto wanapata elimu

Wazazi na walezi watakiwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ambayo inatolewa bila malipo pamoja na kuwalea katika maadili mema kwa kuwarithisha mila na desturi njema ili kuwa taifa lenye sifa njema na maadili mema. By Asha Mado Katika kuhakikisha watoto…

31 January 2023, 12:04 PM

Wanafunzi wapewa elimu ya usalama barabarani

Inspekta Magazi akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mtapika wakati akiwapa elimu ya usalama barabarani kipengele cha waenda kwa miguu. Na Lawrence Kessy Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mtapika, iliyopo Kata ya Mwenge Mtapika,  Halmashauri ya Mji wa Masasi, …

31 January 2023, 8:33 am

Wazazi wasiowapeleka watoto shule kukiona

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bwana Dunstan Kyobya amewaagiza maafisa Watendaji wa Vijiji na Kata kuwachukulia hatua za kisheria wazazi ambao watoto wao hawajaripoti shuleni. Bwana kyobya ametoa agizo hilo wakati akizungumza na watumishi wa umma,viongozi wa dini pamoja na…

30 January 2023, 12:31 PM

Shule ya Msingi Mkuti B yapata Viongozi wapya

Shule ya Msingi Mkuti “B” Wilayani Masasi, imefanya Mkutano wake Mkuu wa Kwanza wa Shule hiyo na kuwachaguwa viongozi mbalimbali wa shule pamoja na kujadili ajenda za mipango ya maendeleo ya shule. Mkutano huo ambao umefanyika Shuleni hapo mapema wiki…

30 January 2023, 12:26 pm

Wapelekeni watoto waanze darasa la awali na la kwanza

Na Gregory Millanzi Wazazi na walezi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, wametakiwa kuwaandikisha watoto wenye umri wa miaka minne kwa ajili ya kuanza darasa la awali, na wenye umri wa miaka 6 kujiunga na darasa la kwanza  mwaka…

30 January 2023, 9:28 am

Wahariri wa Radio Jamii wapigwa msasa

Wahariri na waandishi wa vyombo vya habari vilivyopo chini ya Mtandao wa Redio Jamii Tanzania TADIO wameanza mafunzo ya namna ya kuandaa kuhariri na kuzituma habari kupitia tovuti ya mtandao huo. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyoanza Jan…