Radio Tadio

Elimu

21/09/2023, 19:48

Jeshi la Polisi Zanzibar kubadilika kiutendaji

Mafunzo ya mara kwa mara yanayotolewa kwa askari kuhusu haki za binadamu yataweza kuleta mabadiliko ya kiutendaji kwa Jeshi la Polisi Zanzibar. Na Omary Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad amesema Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar…

21/09/2023, 17:54

Madereva 87 Kyela wakabidhiwa vyeti vya udereva

Na James Mwakyembe Jumla ya madereva themanini na saba wapepigwa msasa wa mafunzo ya udereva na  kukabidhiwa vyeti vya udereva huku wakitakiwa kuwa mabalozi wazuri wawapo barabarani. Katika kuhakikisha ajali za barabarani zinapungua mkoani Mbeya, jeshi la polisi limetoa vyeti…

20 Septemba 2023, 16:40

Mafunzo ya TADIO baraka fm yawapa shangwe wafanyakazi

Kwenye maisha ya binadamu kujifunza ni jambo jema na ukipata nafasi inakupa fursa ya kufanikiwa kwenye maisha,TADIO ni moja ya mtandao unaotoa fursa ya kumjenga mtu ili kutumia fursa zilizopo hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia. Na Hobokela…

20 Septemba 2023, 14:04

Wazazi watakiwa kufahamu umuhimu wa maktaba kwa mtoto

Maktaba ni moja ya Taasisi inayosaidia katika kuchochea maendeleo ya mtoto pindi awapo shuleni na nyumbani. Na Khadija Ayoub. Ili kuchochea maendeleo ya mtoto shuleni wazazi wametakiwa kuwa na utaratibu wa kuwajengea watoto wao desturi pamoja na namna bora ya…

20 Septemba 2023, 7:18 mu

Wahitimu ualimu CCK Pemba watakiwa kujiendeleza

Chuo cha kiislam Pemba ni miongoni mwa chuo ambacho kipo kisiwani Pemba ambapo kinatoa fani ya ualimu kwa ngazi ya cheti na diploma Na Mwiaba Kombo WAZIRI wa nchi ofisi ya rais tawala za Mikoa ,Serikali za mitaa na Idara…