Radio Tadio

Biashara

25 Mei 2024, 22:36 um

NEMC, wanahabari kushirikiana kuelimsha jamii Mtwara

Mabadiliko ya tabia yanasababishwa na vyanzo vya asili na shughuli za binadamu ambazo changamoto kubwa zinazoleta na mabadiliko hayo ni Pamoja na kuongezeka kwa kiwango cha joto duniani ,misimu ya mvua isiyotabirika na kuongeze kwa kina cha bahari. Na Musa…

25 Mei 2024, 15:22 um

RC Mtwara, wananchi wafanya usafi

Wananchi wengi wameonesha kufurahishwa kwa kitendo cha viongozi wa serikali ya mkoa na wilaya ya Mtwara kuungana nao katika zoezi zima la usafi na wengi wao wakisema kuwa watakuwa na mwendelezo wa zoezi hilo majumbani mwao Na Musa Mtepa Mkuu…

25 Januari 2024, 16:23

Wapiga ramli chonganishi kukamatwa Kigoma

Wakuu wa Wilaya za Buhigwe na Kigoma wameagiza kukamatwa mara moja watu wote wanaojihusisha na Ramli Chonganishi maarufu kama Kamchape au Rambaramba, Wanaodaiwa Kupiga Ramli za chonganishi kwenye jamii. Mwanahabari Wetu Kadisilaus Ezekiel Anaripoti zaidi.

25 Januari 2024, 16:12

Wafanyabiashara walia na mpangilio mbovu wa masoko Kigoma

Wafanyabiashara katika manispaa ya Kigoma Ujiji, wamelalamikia mpangilio mbovu wa masoko ya kufanyia biashara, hali inayozorotesha uchumi na kushidwa kulipa Kodi baada ya Kuvunjwa soko la Mwanga na kuanzishwa masoko pasipokuwa na mkakati maalumu wa kuyaendeleza. Kadislaus Ezekiel na Taarifa…

24 Januari 2024, 11:55 um

Wafanyabiashara wa Mchele Bahi walia kukosa soko la uhakika

Mamlaka zinazohusika na suala hili zinatakiwa kuharakkisha upatikanaji wa huduma ya soko ili wakulima wa mpunga waweze kuuza mchele badala ya kuuza mpunga ambao wanaeleza kuwa faida yake ni ndogo. Na Bernad  Magawa. kukosekana kwa soko la uhakika la mchele…

22 Januari 2024, 09:49

Halmashauri ya wilaya Kasulu yakusanya zaidi ya bilioni 19

Madiwani wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kusimamia na kuibua vyanzo vya mapato ili kusaidia kuongeza mapato ya halmashauri hiyo. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekusanya zaidi ya shillingi billion 19 ambayo ni…

22 Januari 2024, 09:20

TRA Kasulu yashindwa kufikia malengo

Mamlaka ya mapato Tanzania TRA wilaya ya Kasulu mkoani kigoma imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji mapato katika kipindi cha mwezi julai hadi Desemba 2023 ikiwa ni   nusu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Na, Hagai Ruyagila Akitoa taarifa katika…