Radio Tadio

Ajira

25 November 2025, 2:56 pm

Mchakato ulipaji fidia eneo la GGML waanza

Ni zaidi ya miezi miwili sasa tangu agizo la serikali kupitia wizara ya madini kuelekeza malipo ya fidia kwa wananchi wanaozunguka mgodi wa GGML. Na: Edga Rwenduru Hekari 2790 kati ya Hekari 3900 za ardhi tayari zimefanyiwa uthamini kwa ajili ya…

9 September 2025, 09:44

Mwenge wa uhuru kumulika miradi ya maendeleo Kasulu

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amesema mwenge wa uhuru utetembelea na kuweka jiwe la msingi katika miradi ya maendeleo utakapowasili Wilayani humo Na Hagai Ruyagila Wananchi wilayani ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika…

28 July 2025, 22:31 pm

Mzee mlemavu wa macho aomba msaada wa makazi Mtwara

Mzee Salumu Somba mkazi wa Mnyengedi, Mtwara, mlemavu wa macho, anaomba msaada wa makazi, mavazi, na mahitaji ya msingi kwa ajili ya familia yake kutokana na hali ngumu ya maisha. Na Musa Mtepa Mzee Salumu Somba, mkazi wa Kijiji cha…

25 July 2025, 4:50 pm

RC Katavi atoa siku 90 kwa DED Mpanda

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko akitoa maelekezo. Picha na Samwel Mbugi “Tengeneza vibanda vijana wafanye biashara katika hadhi” Na Samwel Mbugi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko ametoa agizo la miezi mitatu kwa Mkurugezi wa Manispaa…

February 18, 2025, 6:26 pm

watano wafariki dunia katika bwawa lililochimbwa na mkandarasi

Tukio limetokea Febuari 15 katika kijiji hicho na kuhusisha watoto wanne wa kike wa familia mbili tofauti ambao walikuwa wakiogelea katika bwawa hilo Na Salvatory Ntandu Wakazi watano wa Kijiji cha Bulige Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamefariki dunia kwa kuzama…

10 February 2025, 1:07 pm

RUWASA kusambaza mita za maji za malipo kabla

Na Mzidalfa Zaid Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA inatarajia kusambaza mita za maji za malipo kabla ya matumizi baada mafanikio ya kufunga mita za majaribio Kwa wananchi ambazo zimeanza kuonesha mafanikio makubwa.  Akiongea wakati wa…

19 January 2025, 2:30 pm

Baraza la Madiwani Sengerema lapitisha bajeti ya 66b

Halmashauri ya Sengerema kwa bajeti ya Mwaka 2023/24 iliweza kufanya vizuri na kuvuka lengo kwa Asilimia 115 na bajeti ya sasa ya 2024/25 mpaka kufikia january hii imefikia asilimia 55,pia imepitisha mpango wa bajeti wa 2025/26. Na;Elisha Magege Halmashauri ya…

12 November 2024, 3:28 pm

Wananchi 226 walipwa fidia wilayani Nyang’hwale

Jumla ya wananchi 226 katika kata ya Mwingiro  wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita wamelipwa fidia ya zaidi ya shilingi bilioni 7.2  kutokana na maeneo yao kuchukuliwa na Mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa zaidi ya miaka 20 . Na: Kale Chongela – Geita…