Radio Tadio

Ajira

Januari 5, 2026, 6:39 um

Walimu wakuu, tehama Mbozi wapata mafunzo ya SIS

Ni mafunzo ya mfumo wa School Information System. Na Devi Moses JUMLA  ya walimu 110 kutoka Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wameshiriki mafunzo ya matumizi ya mfumo wa School Information  System (SIS) yaliyofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari Vwawa Day. Mafunzo hayo…

6 Disemba 2025, 1:02 um

DC Jamila: Kasafisheni mji

“Mji wetu unapaswa uwe msafi” Na Samwel Mbugi Mkuu wa wilaya ya mpanda Jamila Yusuph amewataka madiwani wa kata zote za manispaa mkoani Katavi kusimamia usafi wa mazingira bila kusubiri wakuu wa idara husika ili kusaidia kutopata magonjwa yatokanayo na…

25 Novemba 2025, 2:56 um

Mchakato ulipaji fidia eneo la GGML waanza

Ni zaidi ya miezi miwili sasa tangu agizo la serikali kupitia wizara ya madini kuelekeza malipo ya fidia kwa wananchi wanaozunguka mgodi wa GGML. Na: Edga Rwenduru Hekari 2790 kati ya Hekari 3900 za ardhi tayari zimefanyiwa uthamini kwa ajili ya…

9 Septemba 2025, 09:44

Mwenge wa uhuru kumulika miradi ya maendeleo Kasulu

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amesema mwenge wa uhuru utetembelea na kuweka jiwe la msingi katika miradi ya maendeleo utakapowasili Wilayani humo Na Hagai Ruyagila Wananchi wilayani ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika…

28 Julai 2025, 22:31 um

Mzee mlemavu wa macho aomba msaada wa makazi Mtwara

Mzee Salumu Somba mkazi wa Mnyengedi, Mtwara, mlemavu wa macho, anaomba msaada wa makazi, mavazi, na mahitaji ya msingi kwa ajili ya familia yake kutokana na hali ngumu ya maisha. Na Musa Mtepa Mzee Salumu Somba, mkazi wa Kijiji cha…

25 Julai 2025, 4:50 um

RC Katavi atoa siku 90 kwa DED Mpanda

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko akitoa maelekezo. Picha na Samwel Mbugi “Tengeneza vibanda vijana wafanye biashara katika hadhi” Na Samwel Mbugi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko ametoa agizo la miezi mitatu kwa Mkurugezi wa Manispaa…

10 Febuari 2025, 1:07 um

RUWASA kusambaza mita za maji za malipo kabla

Na Mzidalfa Zaid Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA inatarajia kusambaza mita za maji za malipo kabla ya matumizi baada mafanikio ya kufunga mita za majaribio Kwa wananchi ambazo zimeanza kuonesha mafanikio makubwa.  Akiongea wakati wa…