Radio Tadio

Ajali

25 October 2023, 10:29 am

Bweni laungua moto wanafunzi watano wakimbizwa hospitali

Wananchi wengi hawajui namna ya kupambana na moto pindi unapozuka kwenye nyumba zao hata kama kuna vifaa vya kuzimia moto huku serikali ikishauriwa kuendelea kutoa elimu zaidi kwa wananchi. Na Mrisho Sadick: Bweni la wasichana shule ya sekondari Queen Marry…

6 October 2023, 16:21

Afariki baada ya kufukiwa na kifusi cha mawe Kigoma

Jamii imeomba Serikali kuchukua hatua za kudhibiti shughuli za uchimbaji wa madini ya mawe katika eneo la masanga manispaa ya kigoma Ujiji kutokana na kuhatarisha maisha ya watu. Na Eliud Theogenes Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Shabani amefariki…

2 October 2023, 15:27

Mwili wa mtoto waopolewa ndani ya bwawa la Katosho

Wazazi na walezi mkoani Kigoma wametakiwa kuwa karibu na watoto wao ili kuhakikisha hawachezei sehemu hatarishi ikiwemo madimbwi na mabwawa. Na Josephine Kiravu Mwili wa mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 11 hadi 13 ambaye hajatambulika jina…

8 September 2023, 12:02 pm

Mtu mmoja ajeruhiwa na watu wasiojuilikana Pemba

Mmiliki wa kambi ya uchumaji  zao la karafuu anajeruhia na watu wasiojuuilikana huko kambini kwake  matukio hayo yanajitokeza kila msimu wa karafuu unapofika  kisiwani Pemba. Na Mwandishi wetu. WATU wasiofahamika Wadaiwa kuvamia kambi ya karafuu na Kumshambulia kwa vitu vyenye…

4 September 2023, 9:44 am

Watoto Wawili Familia Moja Wafariki kwa Ajali ya Moto

KATAVI. Watoto wawili wa familia moja Florida Froline (3) na Ferisian Froline (3) wamefariki dunia Baada ya nyumba waliokuwemo kuungua Moto mtaa wa Tulieni kata ya Nsemulwa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Shuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa watoto hao…