Radio Tadio

Ajali

14 Oktoba 2025, 11:19 mu

Wanasimba wazindua mnara wa kisasa Mpomvu

“Vilevile tunaendelea kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kwa kushirikiana na serikali ikiwemo sekta za Afya na elimu” – Katibu wa tawi la Simba Mpomvu Na: Edga Rwenduru Mashabiki na wanachama wa klabu ya Simba katika mtaa wa Mpomvu uliopo…

23 Agosti 2025, 8:40 um

Miradi ya 1.8b yafikiwa na mwenge Bunda DC

Mwenge wa uhuru kitaifa 2025 uliingia mkoa wa Mara kupitia wilaya ya Bunda kwa halmashauri ya mji wa Bunda tarehe 15 Aug 2025 na kuzunguka katika halmashauri zote tisa za mkoa wa Mara na leo Aug 23,2025. Na Adelinus Banenwa…

13 Agosti 2025, 7:20 um

Mwenge wa uhuru kukimbizwa KM 152 Musoma

Kwa wilaya ya Musoma mapokezi ni tarehe 16 katika kijiji cha Kabulabula halmashauri ya wilaya ya Musoma. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Musoma Mhe Juma Chikoka ameomba wakazi wote wa wilaya ya Musoma kujitokeza kwa wingi katika mapokezi…

13 Agosti 2025, 7:12 um

Mradi wa TACTIC Musoma kugharimu 19.97 bilion

Miradi itakayotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa barabara za Mkendo, Shaabani na Musoma–Saanane, Ujenzi wa Soko Kuu la Nyasho na Kituo cha Mabasi cha Bweri. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Musoma Mhe Juma Chikoka amemshukuru Rais wa Jamhuri…

Agosti 9, 2025, 8:32 um

Wananchi watakiwa kuacha tabia ya kukopa mikopo umiza

Tanzania Commercial Banki (TCB) kwa mwaka jana imetoa mikopo zaidi ya shilingi bilioni 360 kwa wabiashara wadogo na wakati kwa vigezo rafiki. Na Sebastian Mnakaya Wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuachana na mikopo kwenye taasisi za kifedha zisizo rasmi…