Radio Tadio

Afya

15 September 2022, 9:55 pm

Bil.40 za Mradi Kunufaisha Huduma za Malaria Mkoani Katavi

KATAVI Mkoa wa Katavi umepokea mradi wa miaka mitano utakao gharimu Bilioni 40 unaosimamiwa na serikali  ya Marekani chini ya taasisi ya afya ya Ifakara  utakoshirikiana  na Mkoa kusimamia huduma za Malaria . Akizungumza wakati wa kutambulisha mradi huo mkurungezi…

10 September 2022, 7:47 am

Jamii iwapeleke watoto wapate chanjo ya polio

RUNGWE-MBEYA NA:WANDE BUSHU Mratibu Wa Chanjo Katika Halmashauri Ya  Wilaya Rungwe Mkoani   Mbeya Ezekiel Mvile Amewaomba Wazazi Kuwapeleka Watoto Wao Katika Vituo Vya Afya  Waweze Kukamilisha  Dozi Ya Polio ili Iweze Kuwakinga Na Ugonjwa Huo. Ameyasema Hayo Wakati Akizungumza Na…

6 September 2022, 10:23 am

Wananchi Mkoa wa Katavi waachana na tahadhari za UVIKO 19

KATAVI Baadhi ya Wananchi mkoani Katavi wameonekana kuacha kuzingatia tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko 19 tofauti na ilivyokua hapo awali. Mpanda radio imepita katika maeneo mbalimbali mkoani hapa na kubaini kuwa hakuna tahadhari yeyote inayochukuliwa ya kujikinga na ugonjwa…

5 September 2022, 1:30 pm

Kamati ya bunge yaridhishwa na mradi wa Timiza malengo

Na; Benard Filbert. Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Masuala ya  UKIMWI, Kifua Kikuu , Dawa za Kulevya na Magonjwa yasiyoambukiza imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Timiza Malengo unaotekelezwa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) unaolenga kuwawezesha vijana…

22 August 2022, 2:47 pm

WANANCHI WA IKUNGU WILAYANI MASWA WAJITOLEA KUJENGA ZAHANATI KUPUNGUZA VI…

Wananchi  wa  Kijiji  cha  Ikungu  kilichopo  kata  ya  Badi  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  wamejitolea  kujenga   Zahanati   ili  kupunguza  vifo  vitokanavyo  na  Uzazi  na  kusaidia  upatikanaji  wa  Huduma  za  Afya  kijijini  hapo.. Wananchi   hao  wameamua  kuchangishana  michango  kwa  kila   Kaya  ili …

8 July 2022, 14:28 pm

MAKALA: wananchi wakerwa na tabia za kuwatupa watoto

Utupaji wa watoto wachanga mara baada ya kuzaliwa limekuwa ni tukio la kikatili ambalo kwasasa limeonekana kushamili katika jamii katika nchi za kiafrika. Katika tukio la hivi karibuni lililotokea katika msitu uliopo kata ya Naliendele, Jamii fm imeangazia tukio hilo…

11 June 2022, 8:17 am

TBS Yateketeza Bidhaa Za Vyakula Na Vipodozi Katavi

BIDHAA mbalimbali za vyakula na vipodozi vyenye thamani takribani ya shilingi za Kitanzania milioni 7 zimeteketezwa katika dampo la Manispaa ya Mpanda baada ya kukutwa hazikidhi viwango kwa mujibu sheria ya Viwango Na 2 Sura 130. Bidhaa hizo zilizoteketezwa mjini…