Radio Tadio

Afya

30 January 2023, 9:28 am

Igunguli waomba msaada ujenzi wa Zahanati

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Igunguli Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaunga mkono  na kuwasaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati Wakizungumza na taswira ya habari wamesema  kukosekana kwa huduma ya afya kijiji hapo inasababisha wananchi kwenda…

28 January 2023, 9:46 am

Umuhimu Wa Elimu Ya Chanjo Ya Uviko 19

Na; Mariamu Matundu.Imeelezwa kuwa bado chanjo ya uviko 19 inaendelea kutolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya kote nchini na hivyo wananchi wametakiwa kwenda kupata elimu ya umuhimu wa chanjo hiyo na kuchukua maamuzi ya kuchanja.Mariam matundu amefanya mazungumzo…

23 January 2023, 1:22 pm

KONA YA AFYA

Na; Yusuph Hassan. katika kona ya Afya leo tumeangazia juu ya matibabu ya U.T.I.

23 January 2023, 11:47 am

Mvumi Misheni walia na gharama za matibabu

Na; Victor Chigwada.                                    Licha ya huduma zinazotolewa katika hospitali ya Mvumi Misheni bado wananchi wametaja gharama za matibabu katika hospitali hiyo kuwa changamoto. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa kijiji cha Mvumi Bw.Alpha Zoya wakati akizungumza na Taswira ya Habari…

20 January 2023, 3:53 am

Wananchi Kabungu Wadai Mkunga wa Kike

TANGANYIKABaadhi ya wananchi wa kijiji cha Kabungu kata ya Kabungu wilayani Tanganyika mkoani katavi wameiomba Serikali kuwaletea mkunga wa kike kwenye zahanati ya kijijini hapo.Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi hao wameipongeza zahanati hiyo kwa huduma wanazozitoa huku wakiomba waongezewe…

20 January 2023, 3:18 am

Katavi Bila Malaria Inawezekana

MPANDA Ili kujikinga na ugonjwa wa Malaria wananchi manispaa ya mpanda mkoani katavi wameshauriwa kutokomeza maeneo yote ambayo yanaweza kuwa ni chanzo cha mazalia ya mbu sambamba na kutumia chandarua wakati wa kulala. Ushauri huo umetolewa na mganga mkuu manispaa…