Radio Tadio

Afya

24 Aprili 2023, 1:49 um

Ufahamu ugonjwa wa surua na maambukizi yake

Ugonjwa huu husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. Na Yussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote. Mratibu wa Huduma…

22 Aprili 2023, 9:28 mu

Wananchi Waaswa Kutumia Vituo vy Afya.

MPANDA Wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kuacha mila potofu ya kufuata huduma za matibabu kwa waganga wa kienyeji badala yake wajenge tabia ya kuvitumia vituo vya kutolea huduma za afya vinavyojengwa na serikali katika maeneo yao . Wameyasema…

20 Aprili 2023, 3:28 um

Chakula bora ni kinga dhidi ya Ukoma

Mtaalamu wa Afya anasisitiza kama mtu atazingatia lishe bora ataepuka maambukizi ya ugonjwa huu wa ukoma. Na Yussuph Hassan. Ulaji wa chakula bora ni moja kati ya tiba ya kuepukana ugonjwa wa ukoma.

19 Aprili 2023, 1:19 um

Aina za ugonjwa wa Ukoma na tiba zake

Zipo aina mbili za ukoma je ni zipi hizo? Na Yussph Hassan. Leo Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu anazungumzia juu ya aina za Ugonjwa wa ukoma na tiba zake.

18 Aprili 2023, 8:45 um

Idadi ya Watu Kwenda Kupata Chanjo Yaongezeka

MPANDA Idadi ya watu wanaojitokeza kwenye vituo vinanyotolea huduma za Chanjo imeongezeka kutokana na hamasa inayotolewa na Serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali kufanya watu waone umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19 na chanjo za aina nyingine . Mratibu msaidizi…

18 Aprili 2023, 4:49 um

Zifahamu dalili za Ukoma

Ufahamu ugonjwa wa ukoma na dalili zake. Ugonjwa wa ukoma huambatana na dalili mbalimbali ambapo dalili hizo huchukua muda kujitokeza na leo tukiendelea kufahamu dalili zake na Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu baada ya…

17 Aprili 2023, 1:55 um

Ugonjwa wa ukoma ni nini

Na Yussuph Hassan. Leo tunazungumzia ugonjwa wa ukoma ambao, ugonjwa huo unaambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mtu mwingine kwa njia ya hewa. Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu unaotokana na ukoma anaanza na…