Radio Tadio

Afya

15 May 2023, 8:10 pm

Wananchi wahimizwa kuendelea kuchangia damu

Uchangiaji wa Damu bado unatajwa kuwa muhimu katika kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji. Na Mindi Joseph. Mwitikio wa Wanafunzi,Taasisi na wadau mbalimbali kuchangia Damu umetajwa kuondoa uhaba wa damu  na kuvuka malengo ya uchangiaji katika kitengo cha Damu salama…

12 May 2023, 1:41 pm

Wauguzi Pangani waombwa kuboresha mawasiliano kwa wagonjwa

Na Erick Mallya Ikiwa leo ni siku wa wauguzi duniani,wauguzi wilayani pangani mkoani tanga wameombwa kuboresha mahusiano na mawasliano baina yao na wagonjwa Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi wilayani pangani walipozungumza na pangani FM katika ripoti maalum ya maadhmiho…

12 May 2023, 5:50 am

Nsimbo Walia na Utapiamlo

MPANDA. Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi inakabiliwa na changamoto ya utapia mlo licha ya kuzalisha mazao mengi ya chakula. Hayo yamesemwa na kaimu mganga mkuu hospitali ya halmashauri ya wilaya ya Nsimbo daktari Wambura Waryoba katika mkutano wa taarifa kwa…

8 May 2023, 2:59 pm

Zifahamu dalili za hatari kwa mama mjamzito

Je ni dalili zipi hizo ambazo ni hatari kwa mama mjamzito? Na Yussuph Hassan. Leo tunazugumzia dalili hatari kwa Mama mjamzito ambapo Dkt Abdallah Majaliwa kutoka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma anaeleza kuhusu dalili hizo.