Radio Tadio

Afya

27 August 2025, 8:26 pm

Wenza washauriwa kuacha kujirekodi picha za faragha

“Ni vyema jamii ikajikita kuandaa maudhui yatakayo wasaidia kuleta maendeleo” Kufuatia matukio mbalimbali ya kusambaa kwa picha mjongeo za faragha kwenye mitandao ya kijamii,wenza wametahadharishwa juu ya tabia ya kupiga picha hizo kwani ni kinyume cha sheria ya makosa ya…

August 23, 2025, 1:39 pm

Jeshi la Magereza Ngara laadhimisha miaka 64

Matendo hayo ni pamoja na kuchangia damu, kufanya usafi wa mazingira na kutoa misaada kwa wagonjwa katika hospitali ya Nyamiaga. Na David Mwaluseke- Ngara, Kagera Katika kuadhimisha miaka 64 ya Jeshi la Magereza Tanzania Bara baada ya Uhuru, jeshi hilo…

24 July 2025, 15:30

Neema yawashukia wakulima wa kahawa Kasulu

Halamshauri ya Wilaya Kasulu imepanga kuzalisha miche milioni moja  ya kahawa ili kutoa fursa kwa wakulima  wengi kufikiwa na kuongeza tija ya uzalishaji wa zao hilo. Na Emmanuel Kamangu Wakulima wa zao la kahawa katika kijiji cha Kibirizi kata ya…

18 July 2025, 13:11

Kilimo cha chikichi chawa lulu Kasulu

 Kilimo cha zao la mchikichi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kimeanza kuleta mafanikio kiuchumi kwa wakulima kufuatia usambazaji wa mbegu bora aina ya Tenera. Na Emmanuel Kamangu Wananchi wilayani Kasulu mkoa wa Kigoma wametakiwa kuchangamkia fursa ya…

18 July 2025, 11:01 am

Wafanyabiashara wa Mashine tatu wapelekwa Mlandege

Zoezi hilo limefanyika katika soko la Machinga lililopo eneo la Mlandege, likihusisha Umoja wa wafanyabiashara , idara ya masoko, maendeleo ya jamii na ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa. Na Godfrey Mengele Serikali ya Manispaa ya Iringa kwa kushirikiana…

15 July 2025, 12:31 pm

Jesca awachangia milion 5 waathirika wa moto

“Fedha hizi zitawasaidia wafanyabiashara wa soko la Mashine tatu na kuanza upya biashara kutokana na madhara ya moto” Jesca Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza Muda wake Jesca Msambatavangu, ameanzisha Mfuko Maalum wa Msaada kwa ajili…