Afya
13 October 2025, 19:41
Serikali imeendelea kuchukua hatua kuimarisha ustahimilivu wa Taifa dhidi ya maj…
Serikali imeendelea kushirikiana na sekta binafsi na wewe jamii Kukabiliana na maafa. Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka wizara na taasisi za kisekta kutenga bajeti kwa ajili ya maafa huku sekta binafsi zikitakiwa kuwa na uwekezaji stahimilivu juu…
8 October 2025, 13:08
Kasulu watakiwa kuwekeza kwenye kilimo cha pamba
Serikali kupitia Idara ya Kilimo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imewataka wananchi kuhakikisha wanawekeza katika kilimo cha pamba ili kujiongezea kipato kwa familia na taifa kwa ujumla. Na Hagai Ruyagila Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwekeza nguvu katika kilimo…
27 September 2025, 6:30 pm
Kiswahili kuongeza uelewa wa kisheria mahakamani
Na Wilson Makalla Matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kuendesha kesi yameendelea kuibua maoni mkoani Tabora ambapo wanasheria na wananchi wametoa maoni kuhusu nafasi ya Kiswahili kwenye mfumo wa kimahakama. Wakili wa Kujitegemea kutoka Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Akram…
22 September 2025, 12:23
TADB kuwezesha wafugaji na wakulima mikopo Kigoma
Wafugaji na wakulima wameomba Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo kuendeleaa kuwapa mikopo ili waweze kuendesha shughuli zao na kuongeza thamani ya bidhaa wanazozalisha Na Tryphone Odace Benki ya Kilimo Tanzania TADB imesema inaendelea kufanya mapinduzi ya kilimo kwa kuwawezesha…
18 September 2025, 23:05
SIDO yatunuku vyeti wajasiriamali 250
SIDO yamaliza mafunzo ya siku 3 kwa wajasiriamali 250 Kilombero na kutunuku vyeti; DC atoa agizo la kufunguliwa kwa ofisi ya SIDO wilayani humo kusogeza huduma karibu na wananchi. Na; Isidory Mtunda Washiriki 250 wa semina ya wajasiriamali, wawekezaji na…
18 September 2025, 10:26 pm
Hospitali ya Ngarenaro kutoa rasmi huduma za upasuaji kwa wajawazito
Baada ya changamoto ya muda mrefu ya kutokuwepo kwa huduma ya upasuaji kwa wajawazito, Kituo cha Afya cha Ngarenaro mkoani Arusha kimezindua rasmi huduma hiyo muhimu, hatua inayolenga kuokoa maisha ya mama na mtoto wakati wa kujifungua. Na Jenipha Lazaro…
18 September 2025, 12:23
Wananchi watakiwa kutumia bidhaa za ndani
Kutumia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini itapelekea kukuza uchumi Na Adelphina Kutika Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kutumia bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani, ili kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la taifa. Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa…
18 September 2025, 10:53
SIDO yawezesha wajasiriamali Ifakara
SIDO Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali imeendesha semina ya siku tatu kwa wajasiriamali, wawekezaji na wenye viwanda Ifakara, kwa lengo la kuwawezesha kupata ujuzi wa kukuza biashara na kuepuka migogoro ya kikodi na changamoto za usajili wa…
17 September 2025, 22:50
TRA Morogoro yaendelea kutoa elimu
TRA Mkoa wa Morogoro imeendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara wa Kilombero kuhusu mabadiliko ya sheria za kodi, matumizi ya mashine za EFD, na umuhimu wa usajili wa TIN, ikiwa ni sehemu ya kuongeza uelewa na kuimarisha ukusanyaji wa mapato. Na;…
16 September 2025, 08:53
TRA Morogoro yatoa elimu kwa wafanyabiashara
TRA Mkoa wa Morogoro imetoa elimu kwa wafanyabiashara wa Ifakara kuhusu mabadiliko ya sheria za kodi na matumizi sahihi ya mashine za EFD, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha ulipaji wa kodi kwa hiari na kuongeza uelewa wa majukumu…