Afrika
7 October 2025, 4:48 am
GGML yaadhimisha miaka 25 kwa mashindano ya gofu Geita
Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake kwa kuandaa mashindano ya gofu katika viwanja vya Lake Victoria Golf Club vilivyopo ndani ya eneo la mgodi mkoani Geita. Na: Ester Mabula Mashindano hayo ni miongoni…
18 September 2025, 08:56
Mtwara yapiga hatua dhidi ya talaka holela
Door of Hope Tanzania imewasilisha mrejesho wa mradi wa “Pinga Ukatili, Jenga Amani na Kizazi Chenye Usawa” mkoani Mtwara, ukilenga kupinga ukatili wa kijinsia na kutoa msaada wa kisheria. Viongozi wamesifu mafanikio, ikiwemo kupungua kwa funga nyumba na talaka holela…
9 September 2025, 5:58 pm
Simba tawi la Mkolani yawakumbuka wagonjwa
Kitendo hicho ni mfano wa kuigwa katika jamii kwani tukio hilo limeleta faraja kwa wagonjwa na hamasa kwa watoa huduma. Na Mwandishi Wetu: Kuelekea tamasha la Simba Day siku ya kesho, Mashabiki wa Simba tawi la Mkolani Manispaa ya Geita wamefanya…
4 September 2025, 10:38 am
Wanaobana mkojo hatarini figo kufeli
” Kukaa na mkojo kwa muda mrefu kunaweza kusababisha figo kushindwa kufanya kazi” Na Anna Mhina Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuacha tabia ya kubana haja ndogo kwa muda mrefu (mkojo) ili kuepukana na madhara…
11 August 2025, 1:09 pm
Simba awaita wadau michuano ya Mapung’o cup
Mashindano hayo ni zaidi ya burudani kwani yanatoa nafasi kwa vijana kuonesha vipaji ambavyo havijaonekana kitaifa. Na Mwandishi Wetu: Mwamuzi maarufu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Ally Simba ameonesha kuridhishwa na kiwango cha ushindani na nidhamu ya wachezaji katika michuano…
3 August 2025, 3:40 pm
Yanga kurudi kama Mbogo kimataifa
Klabu ya Yanga imeahidi kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa msimu huu kuliko wakati wowote. Na Mrisho Sadick: Klabu ya Soka ya Yanga imeendelea kusherehekea mafanikio yake ya msimu wa 2024/25 kwa kutembeza makombe yake matano katika mitaa mbalimbali ya…
24 July 2025, 11:34 am
GGML yafadhili mashindano ya michezo shule za sekondari
‘Geita Youth Sports Tournament’ imehitimishwa kwa kuzisogeza karibu shule za sekondari 40 kutoka halmashauri ya Manispaa ya Geita kupitia michezo mbalimbali. Na: Ester Mabula Kampuni ya uchimbaji madini ya Geita Gold Minning Limited (GGML) kwa kushirikiana na halmashauri ya manispaa…
10 July 2025, 5:17 pm
Viongozi Kahama watakiwa kusikiliza, kutatua kero za wananchi
”kasikilizeni na kuzitatua changamoto mbalimbali za wananchi wenu pamoja na kushirikiana katika suala ya maendeleo” Mboni Mhita Na Sebastian Mnakaya Viongozi wa wilayani ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kusikiliza na kutatua changamoto mbali mbali za wananchi wao pamoja na…
2 June 2025, 6:45 pm
Wanafunzi 126 kuuwakilisha mkoa wa Geita UMITASHUMTA
Geita watarajia mafanikio makubwa katika mashindano ya UMITASHUMTA baada ya mchujo makini uliofanyika kuwapata wachezaji mahiri. Na Mrisho Sadick: Jumla ya wanafunzi 126 wa shule za msingi kutoka mkoa wa Geita wamechaguliwa kuuwakilisha mkoa huo kwenye mashindano ya UMITASHUMTA ngazi…
7 May 2025, 12:56 pm
Wakulima Manyara watakiwa kuacha kutegemea kilimo cha mvua
kwa upande wake mwakilishi kutoka ofisi ya mkoa wa manyara Magreth wiza aliyekuwa mgeni rasmi,amesema kuna haja ya wakulimà kuvuna maji kipindi cha mvua ili kulima kilimo cha umwagiliaji hususani msimu wa kiangazi na kuacha kutegemea mvuaa ambayo haitoi matokeao…