Recent posts
17 October 2021, 4:22 pm
Wadau wa utalii Zanzibar wametakiwa kubuni mbinu mpya za kuwavutia watalii
Na Kassim Abd OMPR Makamo wa pili wa rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amewataka wadau wa utalii kubuni mbinu mpya zitakazoleta ushindani kwa kuibua vivutio vipya sambamba na kuviimarisha vivutio vyengine ili viwe na mazingira yatakayowashawishi watalii kurudi tena…
6 October 2021, 8:15 am
Walimu watakiwa kuchangamkia fursa zilizopo
Na mwandishi wetu Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya mafunzo ya amali Zanzibar mhandisi Bakari Ali Silima amewataka walimu kuzifahamu fursa zilizopo katika uchumi wa bluu ili kuwaelekeza vijana kufikia lengo la ukuaji wa uchumi nchini. Akizungumza katika siku ya maadhimisho…
6 October 2021, 6:20 am
Upimaji wa UVIKO 19: Wasafiri watakiwa kutuma maombi mtandaoni ili kupunguza mso…
Radio Adhana WASAFIRI wanaondoka nchini wametakiwa kutuma maombi kwa njia ya mtandao ya kipimo cha uviko 19 ili kupunguza msongamano wakati wa kusafiri na kusababisha kuchelewa kwa wasafiri. Afisa dhamana huduma za afya uwanja wa ndege Nassor Hamad Said amesema…
2 October 2021, 9:48 am
Majadiliano baina na serikali na wadau ni suluhisho la changamoto za usafi wa ma…
Na Ali Khmais, Zanzibar Majadiliano baina ya wadau na jamii ni njia muafaka ya kutatua changamoto katika masuala ya usafi wa mazingira ili kuiepusha jamii kukumbwa na maradhi ya mripuko. . Katika majadiliano yaliyowaleta pamoja serikali na wadau, imebainishwa kuwa…
2 October 2021, 8:46 am
Makamo wa pili wa Rais: Mpango wa Pensheni jamii umewasiadia kiuchumi baadhi ya…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla ameitaka jamii kuweka kipaumbele jukumu la kuwalea wazee na kuwapa matunzo na huduma za msingi. Hemed ametoa kauli hiyo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wazee duniani kilichofanyika katika…
30 September 2021, 5:17 am
Makamo wa Kwanza wa Rais: Walimu Shirikianeni na taasisi kupambana na unyanyasaj…
Makamu Wa Kwanza Wa Rais Wa Zanzibar Othman Masoud Othman, Amewataka Walimu Kushirikiana Na Taasisi Mbali Mbali Katika Kuandaa Mkakati Shirikishi Utakaongoza Na Kusimamia Mapambano Dhidi Ya Unyanyasaji Wa Watoto. Akifungua Kongamano La Walimu Huko Katika Ukumbi Wa Sheikh Idrissa…
29 September 2021, 7:36 pm
Watu wenye ulemavu wa uziwi ni miongoni makundi yanayoishi kwenye dimbwi la umas…
Na mwandishi wetu, Wilaya Kusini Unguja. Jumuiya Ya Viziwi Zanzibar Imesema Kundi Kubwa La Watu Wenye Ulemavu Wa Uziwi Liko Nyuma Kimaendeleo Hususan Vijijini. Mwenyekiti Wa Jumuiya Viziwi Zanzibar Bi Asha Ali Haji Ameyaeleza Hayo Mara Baada Ya Kufanya Kazi …
29 September 2021, 7:05 am
Wandishi wa habari za maendeleo Zanzibar wafundwa juu ya malezi bora ya watoto k…
28 September 2021, 10:35 am
SMZ imeombwa kutenga eneo maalum kwa wajasiriamali kuekeza
Na Ali Khamis, Wilaya ya Magharib B Shirika la Centre for Community Initiaties (CCI) Tanzania limetoa pendekezo kwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kutoa eneo maalumu la kiuchumi litalotumika kuwekeza viwanda vidogo kwa vikundi vya wajasiriamali wa hali ya chini.…