Recent posts
13 June 2024, 4:23 pm
Kukosekana hati miliki chanzo cha migogoro ya ardhi CP HAMAD
Na Said Bakar, Zanzibar Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amesemaa kesi nyingi za migogoro ya ardhi zinazoripotiwa vituo vya Polisi chanzo chake ni kukosekana kwa hati miliki za maeneo hayo. Ameyasema hayo huko Makao Makuu ya Polisi Zanzibar…
12 June 2024, 7:34 pm
Jumuiya ya Istiqama Zanzibar, yatoa semina elekezi kwa mahujaji huko Makka
Na Mwandishi Wetu, Makka Saud Arabia. Mahujaji waliosafiri na Jumuiya ya Istiqama Zanzibar, wamepewa semina elekezi kabla ya kuaza kwa ibada ya hija huko Makka Saudi Arabia. Semina hiyo kwa upande wa wanaume imeongozwa na Sheikh Suweid Ali Suweid katika…
9 June 2024, 3:53 pm
Klabu ya michezo ya wazee Arusha, Baraza la wawakilishi wafurahishwa na kasi ya…
Na Nishan Khamis. Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Unguja, Rashid Hadid Rashid amewapongeza umoja wa klabu ya michezo ya Wazee wa Arusha na klabu ya michezo ya baraza la wawakilishi kwa kutembelea ya mkoa huo. Hadid ameyasema hayo leo huko…
8 June 2024, 5:19 pm
Masheha simanieni sheria na utawala bora- RC Kaskazini Unguja
Na Abdul Sakaza, Mkoa Kaskazini Unguja Masheha katika mkoa wa kaskazini Unguja wametakiwa kufanya kazi kwa kufuata misingi, sheria na uadilifu ili kukuza utawala bora katika jamii. Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa Kaskazini Unguja Hadidi Rashid Hadidi wakati alipokua…
5 June 2024, 9:25 am
Kaskazini Unguja wahimizwa kudumisha usafi wa mazingira
Na Abdul Sakaza, Mkoa Wa Kaskazini Unguja Mkuu wa mkoa Kaskazini Unguja Rashid Hadid Rashid, amewataka wafanyabiashara wa eneo la Fungurefu kudumisha usafi wa mazingira ili kujikinga na maradhi ya mripuko. Ameyasema hayo katika ziara maalumu ya kutembelea eneo hilo…
4 June 2024, 7:34 pm
Mwili ya mwanamme wakutwa ukielea bwawa la Bandamaji
Na Abdul Sakaza, Wilaya ya Kaskazini “A” Kijana anayefahamika kwa jina la Nada Faki Khamis (38) mkazi wa Kinyasini wilaya ya Kaskazini “A” mkoa Kaskazini Unguja umekutwa ukielea katika bwawa la Bandamaji baada ya kufariki dunia. Akithibitisha tukio hilo, kamanda…
2 June 2024, 9:34 pm
Makamu wa Pili wa Rais, awahimiza Watu Wenye Ulemavu Kuchangamkia Fursa za Ma…
Na Nishan Khamis, Kaskazin Unguja Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewahimiza watu wenye ulemavu kuchangamkia na kuzifikia fursa za kimaendeleo nchini kwani wana haki kuzifikia fursa hizo kwa misingi ya kujiinua kiuchumi na maendeleo…
2 June 2024, 4:09 pm
Waratibu wa shehiya watakiwa kushikamana kutatua changamoto za wanawake-Waziri P…
Na Juma Haji, Adhana FM Waziri wa Maendeleo ya Jamii, jinsia, wazee na watoto Zanzibar Riziki Pembe Juma, amesema waratibu wa shehia wana nafasi kubwa ya kushikamana katika kutatua changamoto za wanawake na watoto ili kuwaepusha na janga la ukatili…
2 June 2024, 3:05 pm
Mbunge wa Chaani Juma Usonge akabidhi vifaa vya ujenzi skuli ya msingi Kikobw…
Na Juma Haji, Adhana FM. Mbunge wa jimbo la Chaani Juma Usonge amekabidhi vifaa vya ujenzi, vikiwemo matofali, mchanga, saruji, mawe, na nondo kwa ajili ya ujenzi wamadarasa matatu ya skuli ya misingi Chaani kikobweni . Amesema kuwa, miongoni mwa…
2 June 2024, 1:27 pm
Watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu wasifichwe majunbani-DC Kaskazini “…
Na Nishan Khamis, Kaskazin Unguja . Mkuu wa wilaya ya kaskazini “A” Unguja Othman Ali Maulid amesema kuwa kuwafungia ndani watu wenye ulemavu na mahitaji maalumuni kosa kisheri na kuwakosesha haki zao za kimsingi katika nyanza zote. DC Othman ameyasema…