Uyui FM Radio

Uyui news

18 April 2024, 4:20 pm

Malalamiko 62 yapokelewa TAKUKURU Tabora

TAKUKURU imekuwa ikipokea malalamiko yanayohusiana na vitendo vya rushwa na mengine kuhakikisha yanapelekwa kwenye mamlaka husika Na Omary Khamis Jumla ya malalamiko 62 yamepokelewa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Tabora katika kipindi cha mwezi…

15 April 2024, 10:52 pm

DC Mwansasu: Mkizidiwa vaeni kondomu

“Vijana ni nguvu kazi ya taifa kwahiyo lindeni afya zenu na mhakikishe mnacheza kwa uangalifu“ Na Elisha Lusatila Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora Zakaria Mwansasu amewasihi wananchi kulinda afya zao dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI.Mwansasu ametoa rai hiyo…

13 April 2024, 6:51 pm

Wananchi Tabora waaswa kumuenzi Wakasuvi kwa uchapakazi

Marehemu Wakasuvi alikuwa mchapakazi lakini pia alikuwa na mahusiano mazuri na watu hivyo dumisheni amani na ushirikiano. Na Zaituni Juma Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amewataka wananchi kuendelea kuyaenzi yale aliyokuwa akiyatenda aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi…

19 March 2024, 4:20 pm

RC Chacha awataka watumishi kuwatendea haki wananchi

watumishi mkoani Tabora wametakiwa kufanya kazi kwa bidii huku wakiwatendea haki wananchi. Na Zaituni Juma Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amewataka watumishi mkoani hapa kuuthamini umma wanao uongoza. Ametoa rai hiyo mara baada ya kuwasili katika ofisi ya…

7 October 2021, 7:53 pm

Mufti ahimiza waislam kushirikiana na serikali

Mufti Mkuu wa Tanzania sheikh Abubakar Zubeir Ally amewataka viongozi wa dini ya kiislam mkoani Tabora kuendeleza ushirikiano na viongozi wa serikali ili kuhakikisha wanafanya kazi kwa ufanisi, weledi pamoja  na kuzingatia madili ya dini. Wito huo ameutoa mjini Tabora…

23 August 2021, 7:50 pm

Someni mapato na matumizi ni takwa kisheria-DC Tabora

Mkuu wa wilaya ya TABORA Dkt YAHAYA NAWANDA amemuagiza mtendaji wa kata Ya Isevya GATI ADAMU ahakikishe anasimamia suala la usomaji wa mapato na matumizi kwa wananchi kwenye kila mtaa, kisha kupeleka ripoti hiyo ofisini kwake hadi kufikia ijumaa ya…

28 July 2021, 6:42 pm

Uchunguzi miradi iliyokataliwa na Mwenge Tabora.

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoa wa TABORA imeanzisha uchunguzi kwenye miradi 3 kati ya 35 ambayo haikuzinduliwa wakati wa mbio maalumu za mwenge wa uhuru Mkoani hapa. Akizungumza hii leo wakati wa kutoa Taarifa ya utendaji…