Uyui FM Radio

Uyui news

23 August 2021, 7:50 pm

Someni mapato na matumizi ni takwa kisheria-DC Tabora

Mkuu wa wilaya ya TABORA Dkt YAHAYA NAWANDA amemuagiza mtendaji wa kata Ya Isevya GATI ADAMU ahakikishe anasimamia suala la usomaji wa mapato na matumizi kwa wananchi kwenye kila mtaa, kisha kupeleka ripoti hiyo ofisini kwake hadi kufikia ijumaa ya…

28 July 2021, 6:42 pm

Uchunguzi miradi iliyokataliwa na Mwenge Tabora.

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoa wa TABORA imeanzisha uchunguzi kwenye miradi 3 kati ya 35 ambayo haikuzinduliwa wakati wa mbio maalumu za mwenge wa uhuru Mkoani hapa. Akizungumza hii leo wakati wa kutoa Taarifa ya utendaji…

12 April 2021, 5:49 pm

Wananchi Kaliua wapigwa marufuku hifadhi ya Isawima.

Naibu waziri wa maliasiri na utalii Marry Masanja amezuia wananchi kufanya shughuli yoyote ndani ya hifadhi ya ISAWIMA wilayani Kaliua mkoani Tabora baada ya wananchi kuvamia hifadhi hiyo na kukaidi maelekezo ya serikali ya mkoa iliyowataka kuondoka. Naibu waziri amesema…

29 March 2021, 7:13 pm

Ibada maalumu ya kuliombea Taifa yafanyika Tabora

Waumini wa madhehebu ya kikristo Mkoani Tabora wametakiwa kuendeleza mazuri aliyoyaacha Hayati Dokta John Magufuli ikiwa ni pamoja na kutunza tunu za kitaifa hususani amani, upendo na mshikamano. Hayo yameelezwa na Mkuu wa wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora Abel Busalama…

25 March 2021, 4:14 pm

Wafanyabiashara Tabora wamlilia Hayati Dkt Magufuli

Wafanyabiashara na wajasiriamali  katika Manispaa ya Tabora wamesema watamkumbuka aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt John Pombe Magufuli kutokana na namna alivyo wapigania na kupata maeneo ya kufanyia biashara bila Bugudha. Wafanyabiashara hao akiwemo Haki Kasawa,Sheila Chambuso…