Tumbatu FM

Tumbatu FM Profile

Swahili

Radio jamii Tumbatu Fm ni chombo cha habari ambacho kimeanzishwa mwaka 2014 chini ya ufadhili wa Shirika la UNESCO Kwaajili ya kuwahudumia wakaazi wa jamii ya mkoa wa kaskazini unguja. Kituo hiki kimesajiliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar kama ni Radio inayosimamia maudhui ya habari za kujamii. Radio hii haifungamani na kulinda maslahi ya mrengo wa chama chochote cha siasa, Dini, Rangi au kabila lililokuwepo katika eneo ambalo radio inasikika.

Dira

Kuwa na jamii inayofuata Tanaduni zinazoelekeza kuwepo kwa ustawi wa elimu, uchumi, amani na Afya.

Dhamira

Radio Jamii Tumbatu inalenga kuifikia jamii kwa kuandaa vipindi vyenye kujenga uelewa wa mambo yatokanayo na jamii katika nyanja ya elimu, uchumi, Utamaduni, Amani, na Afya ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo.

…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………..

English

Tumbatu Community Radio is a media outlet established in 2014 under the auspices of UNESCO to serve the residents of the northern region of Unguja. The station is registered with the Zanzibar Broadcasting Commission as an independent radio station that manages social media content. This radio is not bound to protect the interests of any political party, religion, race or ethnic group present in the area where the radio is heard.

Vision

Having a society that follows Cultures that guide the existence of prosperity, education, economy, peace and health.

Mission

Community Radio Tumbatu aims to reach out to the community by organizing programs that build awareness of social issues in the fields of Education, Economics, Culture, Peace, and health to facilitate access to development.