Recent posts
9 March 2026, 2:14 pm
Toweni msada wa kisheria ili muondoshe migogoro.
“Ikiwa mtawasaidia wananchi kuelewa masuala ya kisheria wataweza kufahamu haki na wajibu wao jambo ambalo litachochoe kupunguza malalamiko wakati wa kufuatilia kesi zao” Na Vuai Juma. Wasaidizi wa sheria nchini wamehimizwa kuwasaidia wananchi katika masuala ya sheria ili kuondoa mapungufu…
3 March 2026, 5:43 pm
ZRA yatoa sadaka ya ftari kwa kaya 130 za Tumbatu
“ZRA imekua na tabia ya kurejesha kwa jamii fungu linalotokana na kodi za wananchi ili kuona kwa kiasi gani wananufaika na kodi ambazo wanalipa kwa serikali” Na Juma Haji. Ujumbe wa Mamlaka ya mapato Zanzibar ZRA umefika Kisiwani Tumbatu na…
3 March 2026, 10:43 am
Jeshi la polisi lajipanga kudhibiti udhalilishaji kisiwani Tumbatu
“Kunahaja ya kuleta walimu wa usalama wetu kwanza kwaajili ya kutoa elimu kuhusu udhalilishaji kwa shule za Tumbatu ili kuwanusuru watoto na janga hili matukio mengi yamekua yakitokeza ingawa hayaripotiwi” Na Vuai Juma. Dawati la jinsia na watoto Mkoa wa…
21 February 2026, 9:36 am
Sister Island yatoa ftari Kaskazini Unguja
” Tumetoa sadaka ya ftari kwa watu wapatao 500 lengo ni kusaidia watu wenye hali ngumu na huu ni utaratibu wetu ambao huwa tunaufanya kila baada ya muda hata ikiwa sio wakati wa mfungo wa mwezi wa Ramadhani” Na Juma…
19 February 2026, 10:50 am
Kampeni za uchaguzi wa Mabaraza ya vijana Zanzibar zimeanza leo rasmin
Picha ya wagombea wa nafasi mbali mbali za uongozi kwenye uchaguzi wa baraza la vijana Shehia ya Tumbatu Uvivini wakiwa katika uzinduzi wa kampeni. Picha na Juma Haji . “kwa kuwa uchaguzi huu unahusu kundi la vijana pekee hakikisheni mnawafikia…
13 February 2026, 6:38 pm
Watendaji wa shirika la posta Zanzibar wapewa nyenzo
Ikiwa tutaimarisha mfumo wa kutoa vifaa kwa wafanya kazi kila baada ya muda ninjia pekee ya kuimarisha uwajibikaji kwa watendaji” Na Juma Haji. Waziri wa Wizara ya mawasiliano teknolojia, habari na ubunifu Zanzibar Mudrik Ramadhan Soraga amesema azma ya Serikali…
11 January 2026, 11:23 am
Ukosefu wa elimu ya ndoa chanzo cha migogoro ya familia
“Kukosekana kwa taaluma kabla ya kuingia kwenye ndoa hasa kwa vijana wa sasa hupelekea migogoro na kuongezeka kwa wimbi la talaka” Na Vuai Juma Viongozi wa dini wametakiwa kuwahimiza wanajamii kujifunza elimu ya ndoa ili kujiepusha na migogoro ndani ya…
27 October 2025, 12:24 pm
Msaidie mtu mwenye ulemavu siku ya uchaguzi
Ni wanachama wa umja wa watu wenye ulemavu Wilaya ya kaskazini “A” Unguja wakipatiwa mafunzo ya elimu ya mpiga kura Mkwajuni Wilaya ya kaskazini A: “Jamii ijitokeze kuwasaidia watu wenye ulemavu kwa kuwafikisha kwenye vituo vya kupigia kura ili wa…
21 October 2025, 8:08 am
TAMWA yaja na mkakati wa kutetea usawa wa kijinsia
“Kufuatia matokeo hayo wamiliki wa vyombo vya habari wanahitaji kuongeza juhudi zaidi katika kufikia mkakati wa serikali unaolenga kuwa na 50% ya uwakilishi sawa kwenye vyombo vya maamuzi ikiwemo Bunge na Baraza la wawakilishi kwa upande wa Zanzibar kwa kuruhusu…
12 September 2025, 9:13 am
Vikundi 16 vya watu wenye ulemavu vyapatiwa mafunzo Kusini Unguja
“Ikiwa serikali na taasisi binafsi zitaendelea kuwawezesha watu wenye ulemavu kwenye masuala ya biashara kutawarahisishia kuondokana na ugumu wa maisha” Na Vuai Juma. Wanachama wapatao 25 kutoka vikundi 16 vya kuweka na kukopa katika Wilaya ya Kusini Unguja wamepatiwa mafunzo…