Tumbatu FM

Hotuba ya Rais wa Zazibar katika sherehe ya maulid kisiwani Tumbatu

2 October 2024, 9:58 am

Picha ya mheshimiwa Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Na Mtumwa Mussa.

“Ili taifa liweze kupiga hatua za kimaendeleo lazima wananchi wake wadumishe amani na utulivu kwani ndio ngao pekee ya kufikia hatua hiyo” ni kauli ya rais wa zanzibar dokta Hussein Ali Mwinyi wakati akiwahutubia wananchi wa Tumbatu kweenye shereha ya maulid huko kijiji cha jongowe.

Na Vuai Juma