Recent posts
18 December 2024, 12:33 pm
Msaraka aridhishwa mradi wa ujenzi skuli ya Tumbatu
Picha ya Mkuu wa Wilaya Kaskazini “A” (aliyevaa saa ya mkononi) akiwa pamoja na viongozi wengine wa wilaya wakiwa katika ukaguzi wa mradi wa shule ya Tumbatu. Picha na Sheha Haji. “Ikiwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutekeleza miradi…
11 December 2024, 7:54 am
Kuelekea uchaguzi mkuu, TADIO yaipiga msasa Tumbatu FM
Picha na Sheha Haji. “Ikiwa waandishi wa habari wataandika habari zinazohusu masuala ya uchaguzi kwa kuzingatia taaluma yao ya uandishi wa habari wataweza kuepusha jamii na uvunjifu wa amani” Na Sheha Haji Watendaji wa Redio Jamii Tumbatu FM wametakiwa kuzingatia…
3 October 2024, 8:03 am
SMZ yafungua shamba jipya la uchotaji wa mchanga
Picha ya Waziri wa Maji, Nishati na Madini Shaibu Hassan Kaduara (alievalia shati jeusi) akiwa katika kikao na wandishi wa habari kuhusu ufunguzi wa eneo jipya la uchotaji wa mchanga. Na Latifa Ali. “Nivyema kuweza kufuata vifaa vya ujenzi kama…
2 October 2024, 10:15 am
Kikobweni yakabiliwa na changamoto mbalimbali
Picha ya Mbunge wa Jimbo la Donge Juma Usonge (aliyevaa koti jeusi na kofia) akiwa katika mkutano wa kusikiliza kero za wananchi wa shehia ya Kikobweni. Na Latifa Ali. “Viongozi wanapaswa kuwa mstari wa mbele kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wao…
2 October 2024, 9:58 am
Hotuba ya Rais wa Zazibar katika sherehe ya maulid kisiwani Tumbatu
Na Mtumwa Mussa. “Ili taifa liweze kupiga hatua za kimaendeleo lazima wananchi wake wadumishe amani na utulivu kwani ndio ngao pekee ya kufikia hatua hiyo” ni kauli ya rais wa zanzibar dokta Hussein Ali Mwinyi wakati akiwahutubia wananchi wa Tumbatu…
2 October 2024, 8:36 am
Tujifunzeni lugha ya alama tuwasaidie watu wenye uziwi
Na Vuai Juma. “Upo umuhimu mkubwa wa kujifnza lugha ya alama ambayo ndio kiunganishi kikubwa kwa watu wenye ulemavu wa uziwi”. Na Vuai Juma. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Harusi Said Suleiman, amesema serikali ya…
13 July 2024, 8:19 am
Tutetee haki za watoto tuwalinde na ukiukwaji wa haki za binadamu
Ni wajibu wa jamii kuwapa watoto haki zao kwa maendeleo ya baadaye. Na Abdul Sakaza. Msimamizi Mkuu Kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) hapa Zanzibar Bi. Laxmi, amewataka vijana Zanzibar kuendelea kutetea haki za watoto ili…
13 July 2024, 7:48 am
Tumieni michezo kupinga vitendo vya udhalilishaji
Jamii inapaswa kuitumia michezo kama njia ya kupinga udhalilishaji. Na Abdul Sakaza. Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia Zanzibar wametakiwa kuitumia michezo mbalimbali katika kupinga vitendo hivyo ndani ya jamii zao. Ameyasema hayo huko uwanja wa michezo Mau…
8 July 2024, 9:29 am
Sakaza: Changamoto za wakulima lazima zitatuliwe
Iwapo serikali itatatua changamoto zinazowakumba wakulima kutawawezesha kuvuna mazao mengi zaidi. Na Abdul Sakaza. Mbunge Wa Jimbo La Chaani Mhe. Juma Usonge ameishauri Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Waskazini Unguja kutatua changamoto za wakulima wa bonde la Mpunga Kibokwa…
5 July 2024, 4:58 pm
Wananchi fuateni misingi ya dini
Iwapo wananchi wataweka mbele imani ya dini kutapelekea kuondosha uvunjifu wa amani. Na Vuai Juma. Wananchi wa Tanzania wametakiwa kufuata misingi ya dini ili kuepusha mifarakano ambayo itapelekea uvunjifu wa amani iliyopo. Wito huo umetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano…