Tumbatu FM
Tumbatu FM
29 August 2023, 13:29

Kurejea kwa huduma za kuzalisha akina mama wajawazito Tumbatu kutawaondoshea usumbufu akina mama hao kisiwani humo.
Mwandaaji ni Maulid Juma na Msimulizi ni Mwanahawa Hassan.