Radio Tadio

ukatili

11 December 2023, 17:08

Ahukumiwa miaka 105 kwa makosa ya ulawiti na ubakaji uvinza

Wahukumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji Kigoma. Na Josephine Kiravu. Katika kuendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto, Mahakama ya wilaya Uvinza imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 105 Wangala Maganga baada ya kutiwa…

7 December 2023, 8:59 pm

Nguvu iongezwe katika elimu dhidi ya ukatili kwa watoto

Bado tupo katika siku 16 za kupinga ukatili na leo tutaangazia yafuatayo. Na Mariam Matundu. Ikiwa bado maadhimisho ya siku 16 yanaendelea ,imeshauriwa kuwa nguvu kubwa iongozwe katika kutoa elimu ya ukatili kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kutambua na…

28 November 2023, 6:11 pm

Muendelezo wa Siku 16 za kupinga ukatili

Na Mariam Matundu. Tukiwa bado katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia leo tunakuuliza ni njia gani ya haraka unaweza kuitumia kuripoti vitendo vya ukatili ? Leonard mwacha amezungumza na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa…

26 October 2023, 3:50 pm

Joyce auawa kisha sehemu zake za siri kunyofolewa Mbogwe

Ramli chonganishi zimeendelea kusababisha mauaji maeneo mbalimbali hapa nchini huku serikali ikitakiwa kupambana na suala hilo kuokoa maisha ya watu hususani maeneo ya vijijini. Na Mrisho Sadick: Mwanamke Joyce Luhedeka mwenye umri wa miaka (51)  Mkazi wa kijiji cha Ikobe…

24 October 2023, 21:20

CCM Kigoma kupitia UWT yalia na vitendo vya ukatili

CHAMA cha Mapinduzi CCM, kupitia umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Kigoma, kimeraani na kukemea vitendo vya ukatili vinavyofanyika kwa watoto na wanawake, nakuomba jamii kuungana pamoja kukemea vitendo hivyo na kuripoti katika mamlaka husika ili kuchukua hatua mara…

23 October 2023, 12:40

Wazazi watakiwa kuwa karibu na watoto, kuwalinda na ukatili

Ili kuhakikisha vitendo vya ukatili vinaisha kwenye jamii, wazazi na walezi na jamii kwa ujumla wametakiwa kuwa karibu na watoto wao ili kuwakinga na vitendo vya ukatili. Na Tryphone Odace Wazazi na walezi manispaa ya Kigoma Ujiji, wametakiwa kuwa karibu…