Radio Tadio

Uchaguzi

9 January 2024, 11:38 pm

Wananchi wahimizwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa unatarajia kufanyika mwaka huu huku wananchi wakiendelea kusisitizwa suala la kushiriki katika kuchagua viongozi sahihi. Na Thadei Tesha. Mkuu wa wilaya ya Dodoma mh. Jabir Shekimweri amewataka wananchi jijini Dodoma kushiriki kikamilifu…

18 December 2023, 15:46

Chama cha ushirika Kasulu chawachagua viongozi wapya

Chama cha Ushirika cha Umoja ni imani wilayani Kasulu mkoani Kigoma kimechagua uongozi mpya utakaodumu kwa miaka mitatu ukiongozwa na mwenyekiti wake Alfa Obed aliyechaguliwa kwa kura 106. Na, Hagai Luyagila Akizungumza na vyombo vya habari Afisa ushirika wa halmashauri…

September 25, 2023, 8:41 am

CCM Makete yafanya uchaguzi wa vijana chipukizi

katika kuwaandaa vijana wazalendo na viongozi wa baadaye chama cha Mapinduzi CCM Makete kimefanya uchaguzi wa viongozi wa vijana hao huku nafasi ya mweneyekiti ikichukuliwa na Michael Kened Chaula . na :Rose Njilile Jumuiya ya Vijana Makete mkoani Njombe kupitia…

11 September 2023, 12:00 pm

CHADEMA: Wananchi washughulikie viongozi wazembe

Kuelekea uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa 2024 vyama vya upinzani wameeleza mbinu watakazozitumia kuking’oa chama tawala madarakani. Na Cleef Mlelwa- Makambako Wananchi wa halmashauri ya mji wa Makambako wametakiwa kuwaondoa madarakani viongozi wote wa kisiasa ambao wameshindwa kutatua changamoto…

13 July 2023, 12:00 pm

Uchaguzi mdogo wa madiwani Tanzania bara kufanyika leo

Upigaji kura unafanyika katika vituo vilivyotumika wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 na mpiga kura aliyepoteza kadi au kadi yake kuharibika ataruhusiwa kutumia kitambulisho mbadala iwapo tu atakuwa ameandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura . Na Mindi…