sensa
12 October 2023, 21:53
Wilaya tatu mkoani Iringa zapewa elimu matumizi takwimu za sensa 2022
Na Bestina Nyangaro-Mafinga Halmashauri za Mufindi, Mafinga mji na Kilolo zimepatiwa mafunzo ya matumizi ya takwimu za matokeo ya sensa ya Sita iliyofanyika mwezi Agosti mwaka 2022. Mafunzo hayo yametolewa hii leo katika ukumbi wa CCM Halmashauri ya mji Mafinga,…
28 September 2023, 12:49 am
Wanahabari wapewa siri ya kuwawezesha kuhoji
Kupitia matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 mwanahabari unaweza kuhoji ili kuisaidia jamii Na Edward Lucas Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi, Spika msaafu Mhe.Anna Makinda amewaasa waandishi wa habari kuhakikisha kuwa wanasoma taarifa ya…
27 October 2022, 10:08 am
Rais Samia kutangaza matokeo ya awali ya sensa 0ct 31 Jijini Dodoma
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa maandalizi ya uzinduzi wa matokeo ya mwanzo ya sensa ya watu na makazi yamefikia hatua nzuri hivyo wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushuhudia matokeo hayo yakitangazwa. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary…
23 August 2022, 7:32 am
Mbunge Maboto: Awahimiza Bunda Mjini kushiriki Sensa kikamilifu
Mbunge Jimbo la bunda Mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewahimiza wakazi wa Jimbo la Bunda Mjini kushiriki Sensa ya watu na makazi kikamilifu Akizungumza na redio Mazingira Fm Mhe Maboto amesema lengo kuu la sensa ya watu na makazi ni…
18 August 2022, 6:06 am
Mara: Viongozi wa dini,Vyama vya Siasa,Wazee wa mila na waandishi wa habari wat…
Viongozi wa dini,Vyama vya Siasa,Wazee wa mila na waandishi wa habari wameombwa kuunganisha nguvu na taasisi za Serikali kuhamasisha masuala ya Sensa ili watu wote waweze kujitokeza kuhesabiwa. Akitoa hamasa kwa makundi hayo Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali…
26 July 2022, 8:17 pm
Ally Hapi: Nidhamu ipewe kipaumbele kwenye zoezi la sensa.
Wakufunzi wa Sensa ngazi ya mkoa wa Mara wametakiwa kwenda kusisitiza suala la nidhamu kwa makarani watakaosimamia zoezi hilo. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mara,Ally Hapi,wakati akifunga mafunzo ya siku 21 kwa wakufunzi 296 wa ngazi…
25 July 2022, 1:11 pm
Wanawake na Sensa 2022
Habari, Karibu kusikiliza Podcast ya Pangani FM juu ya Ushiriki wa Wanawake katika Sensa ya Watu na Makazi 2022.
11 July 2022, 1:30 pm
Wananchi waaswa kuacha kuwaficha watu wenye ulemavu wakati wa zoezi la Sensa
Na; Benard Filbert. Kuelekea zoezi la sensa ya watu na makazi linalo tarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka huu wakazi wa kata ya Songambele Wilayani Kongwa wameombwa kuacha kuwaficha watu wenye ulemavu badala yake wawape fursa ya kuhesabiwa. Hayo yameelezwa na…
20 June 2022, 7:09 pm
Pangani FM kuongeza nguvu katika Sensa 2022
Kituo cha Redio Pangani FM kilichopo wilayani Pangani mkoani Tanga kinatarajia kuongeza nguvu katika kuisaidia serikali kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Hayo yameelezwa na mhariri wa kituo hicho Bw. Erick Mallya kufuatia mafunzo maalum…
17 June 2022, 12:44 pm
NBS: 85% ya wananchi wameshaanza kuwa na uelewa wa zoezi la sensa
Saidi Amiri Afisa Habari kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu Kwa mujibu wa ofisi ya Taifa ya Takwimu 85% ya wananchi tayari waishaanza kuwa na uelewa kuhusu zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Hayo yamesemwa Leo…