Radio Tadio

Mahakamani

15 May 2026, 8:53 pm

CCM Bunda yakanusha kubeba watu kwenye mikutano

Gasper amesema chama hicho kina utaratibu wake na wakati wa ziara za viongozi huundwa kamati mbalimbali ambazo huratibu mikutano ambapo moja ya kamati hizo huwa ni ya usafiri. Na Adelinus Banenwa Chama cha mapinduzi wilaya ya bunda kimekanusha uvumi ambao…

25 September 2025, 4:49 am

Njema Labs sasa kutoa huduma kwa wananchi saa 24

Maonesho ya madini ya Geita ni sehemu ya juhudi za serikali kupitia wizara ya madini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, katika kuendeleza sekta ya madini kwa kutoa elimu, kukuza ushirikiano wa kibiashara na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa wachimbaji na…

11 June 2022, 08:09

Sabaya: Mungu amenitendea miujiza

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amemshukuru Mungu kwa kumfanyia miujiza iliyopelekea kushinda kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabili. “Mimi ninamshukuru Mungu sana na ambariki Rais aliyeweka mfumo wa haki inawezekanaameshafanya kwa wengi lakini Mungu kupitia kwa…