Radio Tadio

Maafa

6 February 2024, 8:26 am

Soko la Mbuyuni lateketea kwa moto

Soko la Mbuyuni limeteketea kwa moto na kuwasababisha hasara kwa wafanyabiashara wa soko hilo huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani. Na Elizabeth Mafie Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amefika soko la Mbuyuni lililoteketea kwa moto usiku huu…

January 20, 2024, 9:01 pm

Zaidi ya kaya 20 zaathiriwa na upepo mkali Makete

Ikiwa mamlaka za utabiri wa hali ya hewa nchini zinazidi kutoa tahadhari juu ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, baadhi ya maeneo katika mikoa na wilaya kumetokea athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na vifo vya binadamu pamoja na uharibifu wa miundombinu.…

16 January 2024, 11:58 am

Mvua kubwa yaua watatu Same

Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Same Mkoani Kilimanjaro na zimesababisha madhara katika miundombinu ya barabara pamoja na kusababisha watu kupoteza maisha. Na Elizabeth Mafie Watu watatu wamefariki Dunia Wilayani same Mkoani Kilimanjaro kwa kufukiwa na nyumba na mmoja…

15 January 2024, 11:49

Zaidi ya nyumba 100 zaezuliwa wilayani Kibondo

Tathimini iliyofanywa na kamati ya maafa wilayani Kibondo mkoani Kigoma imebaini kuwa zaidi ya nyumba 100 ziliezuliwa na mvua iliyoambatana na upepo katika kambi ya wakimbizi Nduta ndani ya wiki mbili zilizopita. Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya Kibondo…