Radio Tadio

kilimo

18 January 2024, 15:33

Wakulima wa chai Rungwe wavikataa vyama vya ushirika

Na Ezra Mwilwa Wakulima wa zao la chai wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wameviomba vyama vya ushirika kuwalipa mapema malipo yao ili waweze kuendeleza kilimo hicho kwa ufanisi. Mwenyekiti wa wakulima hao Ndg. Asajile Mwasampeta amesema wamekua wakipata changamoto ya…

11 December 2023, 12:42

Kyela: Ngedere watishia janga la njaa Ipande

Wanyama waharibifu kwa mazao ya chakula aina ya Ngedere wamevamia mashamba ya wananchi wa Ipande na kula mazao shambani. Na Nsangatii Mwakipesile Kufuatia kuwepo kwa uharibifu mkubwa wa mazao unaofanywa na wanyama aina ya ngedere wakulima wa Kata ya Ipande…

29 November 2023, 22:53

Strobeli yawageuza lulu wakulima wilayani Rungwe

Baadhi ya wakulima wa zao la strobeli wilayani Rungwe.Picha na James Mwakyembe Tathmini ya kuangazia mafanikio ya zao la Strobeli wilayani Rungwe yamefanyika yakiongozwa na msemaji wa shirika lisilo la kiserikali Shoma Nangale.Na Nsangatii Mwakipesile Baada ya kutambulishwa rasmi kwa…

28 November 2023, 11:49

Kyela walia na mkandarasi wa mradi wa umwagiliaji Makwale

Baada ya kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mradi wa umwagiliaji wa Makwale hapa wilayani Kyela wananchi wanaunda kata za Makwle,Ndobo na Lusungo wameiomba serikali ya halmaashsuri ya wilaya ya kyela kuingilia kati kukamilika kwa mradi huo.Na Nsangatii Mwakipesile Kutokana na…

18 November 2023, 12:44 pm

Uzinduzi wa msimu wa kilimo biashara mkoa wa Mtwara

Wadau wa kilimo kila mmoja anawajibika katika kutekeleza majukumu yake ili kufikia malengo tuliyojiwekea kama mkoa ikiwepo kuondoa changamoto zinazowakabiri wakulima Na Musa Mtepa Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abasi Novemba 17, 2023 amefanya uzinduzi wa msimu wa…