Radio Tadio

elimu

September 21, 2025, 8:40 am

JKT Itaka wafundisha utengenezaji mkaa mbadala

Ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la matumizi ya nishati safi Na Stephano Simbeye KIKOSI cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 845KJ Itaka wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kimeanza kufundisha jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia taka za shambani.…

7 July 2025, 12:19

Viongozi wa dini watakiwa kutokuwa na chuki

Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Wesern Tanganyika amewataka wachungaji kuwatumikia kwa upendo. Na Hagai Ruyagila Wachungaji na viongozi wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Western Tanganyika (DWT), wametakiwa kuachana na roho ya chuki na migawanyiko miongoni mwao, badala…

3 February 2024, 7:23 pm

UWT Ludete yawapa tabasamu wanafunzi walioripoti bila sare

Jamii yashauriwa kuendelea kuwasaidia wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu ili waweze kutimiza ndoto zao. Na Mrisho Sadick: Wananchi kwa kushirikiana na Jumuiya ya umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Ludete wilayani Geita wamejitokeza kuwasaidia wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu…

3 February 2024, 16:47

Hatimaye shule yanukia Serengeti Kyela

Baada ya kukosekana kwa shule za msingi na sekondari hatimaye wakaazi wa kata ya Serengeti hapa wilayani Kyela wanatarajia kuanza ujenzi wa shule baada ya kupatikana eneo. Na Masoud Maulid Kutokana na kilio cha muda mrefu kwa wananchi wa kata…

30 January 2024, 22:16

Kyela:Wanafunzi zaidi ya 40 hawajaripoti Ngonga Sekondari

Wakati mhura mpya wa masomo ukianza rasmi hapa nchini Tanzania zaidi ya wanafunzi 40 hawajaripoti katika shule ya sekondari Ngonga kutokana na sababu zisizotambulika na mamlaka husika. Na Nsangatii Mwakipesile Mtendaji wa kata ya Ngonga Lutufyo Mwangamilo ametoa tahadhari ya…

25 January 2024, 5:52 pm

Walimu wanyang’anywa madawati, wakaa chini Geita

Kitendo cha walimu kunyang’anywa madawati waliyokuwa wakiyatumia kwenye ofisi yao kimezua mjadala. Na Mrisho Shabani – Geita Chama cha walimu Tanzania (CWT) wilayani Geita kimelaani kitendo cha serikali ya kijiji cha Nyansalala Kata ya Bukondo wilayani Geita cha kuwanyang’anya walimu…

25 January 2024, 15:53

Serikali, wananchi Buhigwe watatua kero ya umbali mrefu wa shule

Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Muhamed Kawaida amewapongeza wananchi wa kata ya Biharu Wilaya ya Buhigwe kuanzisha ujenzi wa sekondari kutokana na changamoto kadhaa za kiusalama na umbali kwa wanafunzi waliokuwa wakilazimika kufuata huduma…