Podcasts
20 June 2022, 6:32 pm
Wanaume wa Pangani na malezi ya Watoto.
Wanaume wilayani Pangani Mkoan Tanga wamepewa wito wa kutimiza vyema wajibu wao katika malezi ya watoto bila ubaguzi wa kijinsia. Wito huo umetolewa na baadhi ya kina mama wilayani humo ambao kwa wamezungumza na Pangani FM. Wanawake hao wamedai kuwa…
14 June 2022, 1:38 pm
Wenye Ualbino waeleza matarajio yao kwenye Bajeti ya 2022/2023
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo anatarajiwa kuwasilisha bungeni bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023. – Katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, serikali inatarajia kutumia shilingi trilioni 41 sawa na ongezeko la asilimia…
7 June 2022, 1:46 pm
Halmashauri ya Pangani kugawa miche 544,000 ya Mkonge.
Halmashauri ya wilaya ya Pangani mkoani Tanga kupitia idara ya Kilimo imefanikiwa kukuza miche 544,000 ya zao la Mkonge. Akizungumza katika mahojiano na Pangani FM leo Afisa kilimo wa Halmashauri hiyo Bw. Ramadhani Zuberi amesema miche hiyo imekuzwa katika vitalu…
30 May 2022, 6:54 pm
Kilimo cha umwagiliaji chawanusuru wanawake dhidi ya ukatili Pangani.
Baadhi ya wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la mauya lililopo katika kijiji cha mseko wilayani pangani mkoani Tanga wameshukuru kwa kuwezeshwa kufanya kilimo hicho kwa faida kwani kwa sasa kimekua kikichangia kuwainua kiuchumi. Wakizungumza na Pangani FM…
24 May 2022, 8:08 pm
Ubalozi wa Ireland wafanya ziara Pangani.
Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania jana umefika hapa wilayani Pangani Mkoani Tanga ili kujionea Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika la UZIKWASA ambalo linafadhiliwa na mpango maalum wa Serikali ya Ireland wa misaada ya maendeleo ya kimataifa [Irish Aid]. …
19 May 2022, 5:24 pm
RC KAFULILA AAGIZA KUONDOLEWA KWA MENEJA WA WAKALA WA MAJI NA USAFI…
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mh David Zacharia Kafulila ameagiza kuondolewa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini wilayani Maswa Lucas Madaha kwa Kushindwa kusimamia miradi ya Maji ambayo imekuwa ikitolewa na Serikali.. Mh kafulila ametoa maagizo …
14 May 2022, 5:43 pm
Vikundi vya Pangani kunufaika na Uchumi wa Bluu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje amesema wilaya imeanza kujiandaa kunufaika na sera ya uchumi wa blue kwa kuunda vikundi mbalimbali vinavyohusika na rasimimali za bahari. Akizungumza na Pangani Bwana Mbenje amesema kuwa tayari kwa wilaya…
28 April 2022, 1:10 pm
Bunda: Grumeti Fund washiriki zoezi la amwani za makazi kwa kutoa vibao 31 vyeny…
Kampuni ya Grumeti Fund wameshiriki zoezi la anwani za makazi kwa kuchangia kuto vibao vya anwani za makazi 31 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi million mbili Akizungumza katika makabidhiano hayo mwakirishi wa kampuni ya Grumeti Fund, Davidi Mwakipesile amesema…
20 October 2021, 18:48 pm
Makala: Nafasi ya wanawake katika Tasnia ya Habari
Wananwake katika tasnia ya habari na Vyombo vya habari ni makala ambayo imeandaliwa ili kuangalia nafasi yake, Fursa na changamoto zilizopo katika mkoa wa Mtwara. Karibu katika makala haya ili uweze kujua masuala mbalimbali yanayofanywa na wanawake katika vyumba vya…
19 October 2021, 14:51 pm
Makala: Kilimo Biashara ndani ya Mtwara
Karibu usikilize Makala ya Kilimo biashara ambapo tumezungumzia mazao mbalimbali pamoja na hali ya biashara ya mazao haya ndani ya mkoa wa Mtwara, Ungana na Musa Mtepa katika makala haya.