Podcasts

19 August 2023, 11:29 am

Makala: Ufahamu ugonjwa wa Usonji

Na Grace Hamisi, Usonji (autism spectrum disorder -ASD) ni ugonjwa wa neva wa ukuaji unaoathiri namna mtu anavyoshirikiana na wenzake, anavyozungumza, anavyojifunza, na tabia yake. Ingawa usonji unaweza kugundulika katika umri wo wote, ugonjwa huu huelezewa kuwa ni ugonjwa wa…

16 August 2023, 12:10 pm

Kipindi: Mwangaza wa habari

Na Ivan Mapunda. Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa kaskazini Unguja amewataka madereva kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepukana na ajali.

15 August 2023, 3:42 pm

Baba atelekeza familia na kwenda kuanzisha familia nyingine

Mama huyo anadai kuishi maisha magumu kwani  anatumia muda mwingi kutafuta kipato cha kumuwezesha yeye pamoja na watoto wake kupata mahitaji muhimu ikiwemo chakula. Na Leonard Mwacha. Katika hali ya kushangaza baba mmoja mkazi wa Jijini Dodoma ameitelekeza familia yake…

14 August 2023, 12:41 pm

Rushwa ya ngono inavyowaathiri vijana katika utafutaji

Nini kifanyike ili kuwanusuru vijana pindi wanapokutana na changamoto ya kuombwa rushwa ya ngono. Na Leonard Mwacha. Vijana wamekuwa wakipitia changamoto nyingi pindi wanapotafuta maisha ikiwemo kuombwa rushwa ya ngono ili waweze kufanikiwa kimaisha. Hali hii imekuwa ikiwakatisha tamaa vijana…

11 August 2023, 19:12 pm

Kipindi: Umiliki wa Ardhi kwa mwanamke – Gladness Munuo

Wanawake wamekuwa nyuma katika suala la umiliki wa ardhi kitendo ambacho kinaonesha ni kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya umiliki huo, hasa linapokuja suala la mali ya familia Na Musa Mtepa Mratibu usuluhishi na upatanisho kutoka kituo cha msaada…