Storm FM

watoto

24 October 2025, 7:23 pm

DC Kyobya awaonya watakaohatarisha amani

“Tukahamasishe utulivu na pale kwenye viashiria vyovyote msisite kutoa taarifa,muwasisitize watu wakapige kura amani ndio msingi wa kila kitu“ Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, leo ameongoza kikao maalum na viongozi wa dini pamoja na…

2 October 2025, 09:34

Wazee Kasulu wataka jamii itambue mchango wao

Serikali imeahidi kuendelea kuboresha maisha ya wazee kwa kuwasaidia kupata matibabu na mahitaji mengine muhinu kama sehemu ya kuambua mchango wao katika jamii. Na Hagai Ruyagila Baadhi ya wazee katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameiomba serikali kuwaangalia kwa jicho la…

1 October 2025, 4:28 pm

Rushwa kwenye uchaguzi Tanzania: Donda sugu la demokrasia

Na Isack Dickson Uchaguzi Mkuu mara zote umekuwa ni moyo wa demokrasia ya Tanzania. Lakini historia imeonyesha kuwa moyo huo mara nyingi unakumbwa na changamoto kubwa—rushwa ya uchaguzi. Inaanzia ndani ya vyama vya siasa, ambako kura za maoni mara nyingi…

27 September 2025, 6:46 pm

Jamii yaaswa kujifunza lugha ya alama

Na Zabron George Katika kuadhimisha siku ya Lugha ya Alama Duniani jamii imeshauriwa kuona umuhimu wa kujifunza lugha hiyo ili iweze kusaidia kurahisisha mawasiliano kati ya watu viziwi na wale wasio viziwi. Wito huo umetolewa na katibu wa chama cha…

September 25, 2025, 7:05 pm

BAKWATA Arusha yatoa msaada kwa watoto wenye mahitaji maalum

Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Arusha umetembelea na kutoa msaada wa vifaa mbalimbali katika shule ya msingi Kaloleni, inayowahudumia watoto wenye mahitaji maalum, kama sehemu ya kuelekea maadhimisho ya Maulid yatakayofanyika Jumamosi hii jijini Arusha.…

11 September 2025, 9:53 am

George akutwa amejinyonga Iringa

Changamoto ya watu kujiua inapaswa kufanyiwa uchunguzi na kutatuliwa ili kupunguza vifo katika jamii. Na Godgrey Mengele Mwanaume mmoja ajulikanaye kwa jina la George Severin Manga mkazi wa Kitongoji cha Kihesa katika Kijiji cha Ilambilole amekutwa amejinyonga kwa kile kinachodhaniwa…

29 August 2025, 5:16 pm

Marufuku watoto kwenye Mabanda ya video Geita Road

Sera ya maendeleo ya mtoto ya mwaka 2008 inaweka bayana wajibu wa jamii, wazazi na serikali kulinda watoto dhidi ya vitendo vinavyoweza kuathiri makuzi yao. Na Mwandishi Wetu: Mwenyekiti wa mtaa huo Pelana Bagume amesema hatua hiyo imechukuliwa baada ya…

August 23, 2025, 3:42 pm

Akikutwa na tuhuma hatua zichukuliwe-DC Nkinda

Katika ziara ya kusikiliza na kutatua kero DC Nkinda alipokea malalamiko kutoka kwa mwananchi Emanuel Maduhu ambaye anadai aliuziwa kiwanja na serikali ya mtaa huo ambacho kilikuwa kimeuzwa awali. Na Samuel Samsoni- Kahama Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga…