Storm FM

taka

1 May 2024, 3:43 pm

Taka ni kikwazo kwa baadhi ya maeneo mjini Geita

Licha ya jitihada mbalimbali zinazoendelea kufanywa na halmashauri ya mji wa Geita ili kukabiliana na uchafu wa mazingira, bado hali ni tete kwa baadhi ya maeneo. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wananchi kutoka mitaa ya Mpomvu, Mbabani, Nyantorotoro…

7 November 2023, 6:49 pm

Shabiki wa Yanga Geita kutoa ngo’mbe 5 kwa wachezaji

Kipigo cha Simba kimeendelea kupeleka neema Jangwani baada ya wadau kuanza kujitokeza kutoa zawadi za pongezi. Na Mrisho Sadick – Geita Baada ya Yanga kuifunga Simba goli 5 – 1 shabiki wa Yanga mkoani Geita Hussein Mwananyanzara ameahidi kutoa ng’ombe…

24 August 2023, 8:30 pm

Geita Gold Queens yakwama, wadau waombwa msaada

Ukata wa kifedha umekuwa changamoto kubwa kwa klabu mpya ya ligi kuu ya wanawake ya Geita Gold Queens ya hapa mkoani Geita, na kumuinua Mwenyekiti wa Chama cha Soka Geita kuwaomba wadau msaada. Na Zubeda Handrish- Geita Klabu ya wanawake…

15 August 2023, 1:55 pm

Washindi Dimbani Cup shangwe tu

Wadau wa soka Mkoani Geita wameendelea kuzipongeza taasisi za umma na binafsi kwa kuendelea kuuthamini mchezo wa mpira wa miguu kwa kuandaa mashindano mbaimbali ambayo yamekuwa chachu kwa kuibua vipaji vya vijana. Na Amon Bebe – Geita Baada ya fainali…

13 August 2023, 12:11 pm

Geita All Stars bingwa Dimbani Cup 2023

Agosti 5, 2023 ligi ya Dimbani Cup ilianza rasmi ikishirikisha timu nane na kuanzia hatua ya mtoano na kukamilishwa na mshindi wakwanza na wapili. Na Zubeda Handrish- Geita Ligi ya Dimbani Cup 2023 inayofanyika chini ya kituo cha redio cha…

10 August 2023, 1:03 pm

Nyankumbu Girls yang’ara kuelekea kuanza kwa ligi kuu

Kufuatia uharibu uliofanyika na watu wasiojulikana katika Dimba la Nyankumbu Girls, ukarabati mkubwa umefanyika kwaajili ya klabu ya Geita Gold FC kuutumia kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC. Na Zubeda Handrish- Geita Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa 2023/24…

9 August 2023, 3:20 pm

Ni Yanga SC au Azam FC kutinga fainali leo?

Darby ya Dar es salaam imeibua hisia za mashabiki wa soka mkoani Geita, na kufunguka timu yenye nafasi zaidi ya kutinga fainali ya Ngao ya Jamii kati ya michezo ya leo. Na Zubeda Handrish- Geita Michuano ya Ngao ya Jamii…