Storm FM

Mazingira

5 December 2025, 5:45 pm

‘Madhila ya ukatili kwa wanawake Mwaloni’

Na Hamisi Makungu. Kipindi cha Sauti ya Mwanamke kimeangazia Mabadiliko ya tabianchi yanavyopelekea ukatili wa kijinsia, hasa kwa wanawake waliopo kwenye mnyororo wa uchumi wa buluu. Katika Mjadala kupitia kipindi hiki, wanawake wachuuzi wa Samaki wamepaza sauti zao juu ya…

1 October 2025, 8:11 am

DC Igunga atoa maagizo kuelekea msimu wa kilimo cha  pamba

“Kama mnavyojua wilaya ya Igunga inalima zao la Pamba na kuzalisha kitalu mbegu hivyo Serikali inafanya jitihada zote kuhakikisha uzalishaji unaongezeka mwaka hadi mwaka hivyo zao hili tunalipa kipaumbele kwasababu ni zao la kibiashara.” Sauda Mtondoo DC Igunga “ Na…

23 September 2025, 8:00 pm

Madaktari Bingwa kutoa huduma za kibingwa iringa

Na Adelphina Kutika Madaktari bingwa wapatao 45 kupitia mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wamewasili katika Mkoa wa Iringa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakilazimika kusafiri nje ya mkoa iringa  kufuata…

23 September 2025, 3:07 pm

THBUB yasisitiza amani kuelekea uchaguzi mkuu

kila raia wa Tanzania ana haki ya kupiga kura ya kuchagua kiongozi anaye mtaka kwaajili ya maendeleo RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imewamba wananchi kushiriki  kikamilifu kwenye mikutano ya kampeni inayofanywa na…

3 September 2025, 8:28 pm

Mwanamke atolewa uvimbe wa kilo 10 Iringa

Na Zainabu Mlimbila Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa imefanikiwa kufanya upasuaji na kutoa uvimbe wenye uzito wa kilo 10 uliokuwa unamsumbua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 42 aliyeteseka kwa Zaidi ya miaki 5. Akizungumza mara baada ya kukamilika…

11 August 2025, 12:29 pm

World Vison yajenga vyoo shule ya Kidilo

Katika kukabiliana na magonjwa ya Mlipuko kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Kidilo, Shirika la World Vision Tanzania limejenga vyoo vya kisasa. Na Adelphina Kutika Zaidi ya wanafunzi mia mbili wa Shule ya Msingi Kidilo, iliyopo kata ya Kihanga Wilaya…

11 August 2025, 9:46 am

Wazazi toeni ushirikiano katika kuwasimamia wanafunzi

“Ikwa tutashirikiana kwa pamoja katika kuwasimamia watoto wetu tutaweza kuongeza idadi ya ufaulu ndani ya Skuli yetu” Na Atka Mosi. Mwalim  Mkuu wa skuli ya sekondari Mkokotoni Haji Abdallah Seif  amewataka wazazi na walezi  kutoa mashirikiano kwa kuwasimamia watoto kupata…