Storm FM

Mazingira

17 January 2025, 8:14 pm

DC Simalenga ataka uwazi ugawaji wa viuatilifu vya Pamba

“Kilimo ni uti wa mgongo katika taifa letu ambapo zaidi ya asilimia 75 ya wananchi wake wanahusika na kilimo hivyo lazima tuwekeze nguvu kubwa ili kuzalisha kwa tija”. Na, Daniel Manyanga Mkuu wa wilaya ya Bariadi  mkoani Simiyu,Simon Simalenga amewataka viongozi…

12 January 2025, 10:57 am

Wananchi Iringa waaswa kuacha tabia ya kufungulia maji taka

Na Zahara Said na Halima Abdallah Ikiwa tupo katika msimu wa mvua, wananchi Manispaa ya Iringa wametakiwa kuchukua tahadhari ikiwemo kuacha kufungulia maji taka ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko hasa kipindu pindu. Wakizungumza  na kituo hiki baadhi ya wananchi…

16 December 2024, 8:51 pm

TCB yagawa baiskeli 218 kwa wakulima wezeshi wa pamba Maswa

“Mkoa wa Simiyu ni mmoja wapo wa mkoa unaozalisha Pamba nyingi hapa nchini hivyo kuwa zao mkuu la kibiashara na lakimkakati zaidi.” Na, Daniel Manyanga Katika kuhakikisha kilimo cha zao la Pamba kinawatoa wakulima kimaisha bodi ya Pamba Tanzania (TCB)…

4 December 2024, 11:09 am

Maambukizi ya VVU Iringa yapungua kutoka 11.3 mpaka 11.1%

Na Hafidh Ally Maambukizi ya Ukimwi Mkoa wa Iringa maambukizi ya virusi vya ukimwi mkoa wa iringa yapungua kutoka 11.3% mpaka 11.1% kwa mwaka 2020- 2023. Hayo yamezungumzwa na Mratibu wa huduma za kudhibiti Ukimwi Mkoa wa Iringa Prizantus Ngongi…

28 November 2024, 10:30 am

Shule ya sekondari Bugalama wapanda miti 500 kutunza mazingira

Serikali na wadau mbalimbali wa mazingira wameendelea kuhamasisha jamii juu ya upandaji miti ambapo kwa mujibu wa wataalam wanaeleza kuwa miti imekuwa na faida nyingi katika kutunza mazingira. Na: Kale Chongela – Geita Uongozi wa shule ya sekondari Bugalama iliyopo kata ya…

26 November 2024, 06:25

Kikundi cha Mkombozi kuinuka kiuchumi

Na Kefa Sika MUFINDI Kikundi cha Mkombozi kilichopo katika kijiji cha Kidete kata ya Mdabulo wilayani Mufindi Mkoani Iringa chenye wanachama 61 kimepokea fedha kiasi Cha shillingi laki 5, Kwa ajili ya Uendeshaji wa kikundi hicho. Kikundi hicho hujishughulisha na…