Ukatili
17 May 2024, 9:32 am
Vitendo vya ulawiti watoto tishio Geita
Vitendo vya ukatili kwa watoto Geita ikiwemo ulawiti vimeendelea kushika kasi huku mamlaka zikiombwa kuendelea kuchukua hatua kali ili kuvikomesha. Na Mrisho Sadick – Geita Jeshi la polisi mkoani Geita limetoa tahadhari juu ya ongezeko la vitendo vya ulawiti kwa…
9 May 2024, 3:36 am
TAS yatoa tamko baada ya mtoto mwenye ualbino kujeruhiwa
Tukio la kujeruhiwa mtoto (10) mwenye Ualbino mkazi wa mtaa wa Mtakuja kata ya Katoro wilayani na mkoani Geita limekiibua Chama cha watu wenye Ualbino (TAS) wilaya ya Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Katibu wa TAS wilaya ya Geita…
28 January 2024, 12:55 pm
Wachimbaji na wavuvi hawatumii vyoo kisa imani potofu
Makundi ya wachimbaji na wavuvi yako hatarini kupata magonjwa ya mlipuko hususani kipindupindu kwasababu hawatumii vyoo kwenye maeneo yao. Na Mrisho Shabani: Wachimbaji wa madini ya dhahabu pamoja na wavuvi mkoani Geita wametajwa kuwa ni miongoni mwa makundi ambayo hayana…
15 January 2024, 5:01 pm
Watu 12 wathibitika kuwa na kipindupindu mmoja afariki dunia Geita
Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaendelea kuenea mikoa ya Kanda ya Ziwa baada ya mikoa ya Mwanza na Kagera kukumbwa na ugonjwa huo sasa Geita nayo yatangaza. Na Mrisho Sadick – Geita Watu 12 wamethibitika kuwa na ugonjwa wa kipindupindu…
4 January 2024, 11:12 am
Aonekana hai baada ya kufariki miaka 3 iliyopita Geita
Mwanamke Mugumba Misalaba aliyepatikana akiwa hai Fitina baada ya kufariki miaka 3 iliyopita. Picha na Amon Bebe Matukio ya baadhi ya watu kufariki dunia na kuonekana tena yameendelea kutokea katika maeneo tofauti, jambo ambalo linazua mizozo na kuhusishwa na imani…
3 December 2023, 9:28 pm
Wafutwa kazi kwa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa kumwagiana dripu
Wafanyakazi wawili wa Hospitali ya Sakamu wamezua taharuki kwa kusheherekea kwa furaha siku ya kuzaliwa ya mwenzao kwa kutumia majitiba maarufu ‘dripu’. Na Said Sindo- Geita Wafanyakazi watatu wa hospitali binafsi ya Sakamu iliyopo eneo la Magereza, mtaa wa Katoma,…
27 November 2023, 11:36 pm
Kivuko cha meli Mharamba chasombwa na maji, wananchi wakwama
Mvua zinazoendelea kunyesha bado ni changamoto kwa wakazi katika maeneo tofauti mkoani hapa. Na Said Sindo- Geita Wakazi wa kijiji cha Mharamba, wilaya ya Geita mkoani Geita wamesema maisha yao yako hatarini kutokana na kivuko (Gati) walichokuwa wakitumia kusombwa na…
25 November 2023, 11:26 am
Mwanamke aliyejeruhiwa na mume wake anaendelea vizuri
Bwana Colini mtendaji wa mtaa wa 14 kambarage ndiye aliyetolea taarifa tukio hilo la ugomvi wa mke na mume baada ya kutokea mtaani hapo. Na Kale Chongela- Geita Mwanamke Justina Paul ambaye alijeruhiwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na…
18 November 2023, 3:38 pm
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza tishio wilayani Geita
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yameendelea kuwa tatizo miongoni mwa wakazi wa Mkoa wa Geita huku mtindo wa maisha ukitajwa kuwa sababu. Na Mrisho Sadick – Geita Idadi ya wagonjwa wanaosumbuliwa na Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo kisukari katika kituo cha…
16 November 2023, 12:34 pm
Geita mji yapewa siku 30 kukamilisha Zahanati zote zilizotelekezwa
Kutelekezwa kwa Zahanati zaidi ya tatu katika Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita kumemuibua Mkuu wa Mkoa nakutoa maagizo kwa watendaji wa serikali katika eneo hilo. Na Mrisho Sadick – Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela ametoa…