Sibuka FM

mifugo

16 December 2025, 5:47 pm

RC Sendiga azindua klinik ya madaktari bingwa Mbulu

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga  amezindua clinik ya madaktari bingwa ya magonjwa ya binadamu  katika halmashauri ya mji  Mbulu ili kuwasaidia  wananchi kupunguza  kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya za kibingwa Na Emmy Peter Sendiga  amezindua kliniki…

10 December 2025, 21:16 pm

Wananchi kuchangia 2,000 kumleta mganga wa asili kijijini

Wananchi wa Kitongoji cha Nunu, Msakala, wameamua kuchangia shilingi 2,000 kwa kila nyumba ili kumleta mganga wa jadi baada ya hofu ya “mlipuko wa ugonjwa wa moyo.” suluhisho Na Musa Mtepa Katika hali ya kushangaza, wananchi wa kitongoji cha Nunu…

5 December 2025, 2:03 pm

Moto wa ajabu wateketeza samani za ndani Geita

Hakuna madhara ya kibinadamu kwakuwa jitihada kubwa zilifanyika kuuzima moto huo kwa kushirikiana na majirani. Kale Chongela: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vitu vya ndani katika chumba cha Bw. David Pankras, mkazi wa Mtaa wa Nyantorotoro A Kata ya…

24 November 2025, 6:44 pm

Wananchi waaswa kushiriki mbio za utalii, mazingira

Wanaotaka kushiriki Serengeti Safari Marathon walipie mix by yas shilingi 45 kwa mbio za kilometa 5,21 na 42. Na Catherine Msafiri, Yas wamesema wataendelea kudhamini shughuli mbalimbali za kijamii ikiwa ni Sehemu ya kurudisha shukurani kwa wateja wao. Hayo yamesemwa…

27 October 2025, 14:36

RC Sirro atembelea wakazi waliopisha hifadhi Kasulu

Serikali imesema itahakikisha inapeleka huduma zote muhimu kwa wananchi waliohama kupisha hifadhi ya kitalu cha uwindaji Makere – Uvinza na kuanza makazi mapya katika kitongoji cha Katoto Wilayani Kasulu Na Mwandishi wetu Zaidi ya wakazi 800 wamehamisha makazi yao kutoka…

17 October 2025, 8:18 am

Wahanga wa bili kubwa za maji Terrat waeleza changamoto

Na Isack Dickson Wakazi wa Kijiji cha Terrat, Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wanakabiliwa na changamoto ya kupokea bili za maji ambazo hazilingani na matumizi yao halisi, huku wakidai kuwa bei hizo ni kubwa na zinawatesa. Baadhi yao wanasema kuwa bili…

13 October 2025, 14:49 pm

Kijiji chaingiwa hofu ya ushirikina mkoani Mtwara

Taharuki yatanda Magomeni Nyasi baada ya kugunduliwa kifaa kisichojulikana chenye hirizi, kinachodhaniwa kuhusika na imani za kishirikina. Wakazi wataka uchunguzi wa kina kufuatia ongezeko la matukio ya aina hiyo kijijini Na Musa Mtepa Mtwara –Wakazi wa kijiji cha Magomeni Nyasi,…

12 October 2025, 1:48 pm

TAWA yaweka mikakati kukabili wanyamapori wakali

Bw. Lusato Masinde, amesema ongezeko la migongano kati ya binadamu na wanyamapori linachangiwa na upanuzi wa makazi ya binadamu, mabadiliko ya tabianchi, pamoja na uharibifu wa mazingira ya asili ya wanyama hao. Na Catherine Msafiri Wakala wa Huduma za Wanyamapori…

8 October 2025, 5:49 am

Picha: Ajali yaua mmoja, kujeruhi wengine Geita

Licha ya elimu na jitihada mbalimbali zinazofanywa kuzuia ajali za barabarani, bado matukio ya ajali yamekuwa yakitokea na kupelekea vifo, majeruhi pamoja na uharibifu wa mali. Na: Mrisho Sadick Mtu mmoja amefariki Dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya…

3 October 2025, 12:25 pm

Elimu juu ya madhara ya mila ya ukeketaji sehemu 2

Na Adelinus Banenwa Kipindi kinahusu kutoa elimu kwa jamii inayotekeleza mila ya ukeketaji kwa akinamama na mabinti juu ya madhara ya kiafya kijamii na kimaendeleo watakayoyapata pindi wanapofanyiwa mila hiyo. Lakini pia kinaonesha umuhimu wa dhamira ya mila hizo, hivyo…

30 September 2025, 12:12 pm

Wanaomiliki nyara kinyume cha sheria watakiwa kupata vibali

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) yasema wanaomiliki nyara kama pembe, na mikia ya wanyamapori bila vibali , ni kinyume na sheria za uhifadhi . Na Catherine Msafiri, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imewataka wananchi kuhakikisha wanamiliki…

31 August 2025, 10:39 am

Maswa yazindua chanjo ya mifugo, DC Anney atoa maagizo

“Zoezi la chanjo ya mifugo siyo la hiari bali la lazima maana lipo kisheria na linasaidia kupunguza magonjwa ya mlipo kwa mifugo hivyo wafugaji wote muone umuhimu wa zoezi hili kwa kuipeleka mifugo yenu ikapate chanjo” DC Maswa Dkt. Vicent…

21 August 2025, 2:58 pm

Msako madereva Bajaji wavunja sheria Geita

Oparesheni hiyo ni endelevu na inalenga kulinda usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara Na Kale Chongela. Na Kale Chongela: Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita limesema halitawafumbia macho madereva wanaovunja sheria za usalama barabarani…

4 August 2025, 4:13 pm

Karakana nyingine yateketea kwa moto Geita

Matukio ya moto kuteketeza karakana yameendelea kuongezeka mkoani Geita huku sababu za matukio hayo zikiwa hazijulikani. Na Kale Chongela: Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeteketeza karakana moja ya useremala katika mtaa wa Mkoani, Kata ya Kalangalala, Manispaa ya…

24 July 2025, 2:12 pm

Moto wateketeza karakana ya useremala Geita

Majanga ya moto yameendelea kuwa mwimba mchungu kwa wajasiriamali Geita huku sababu za majanga hayo nyingi zikiwa hazijulikani. Na Mrisho Sadick: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza karakana moja ya useremala katika Mtaa wa Nyerere Road Manispaa ya Geita Mkoani…

22 July 2025, 8:18 pm

Miaka miwili baada ya mume kujinyonga, mke naye ajinyonga

Tukio la mama huyo kujinyonga limeacha maswali mengi kutokana na mume wake miaka miwili iliyopita alifariki kwa kujinyonga pia Na Adelinus Banenwa Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Pili Chacha (40) amefariki dunia kwa kujinyonga kwenye mti ulipo pembezoni mwa…

21 July 2025, 7:39 pm

Ajali yaua watumishi wawili wa TRA Geita

Madereva watakiwa kufuata sheria za usalama barabarani ikiwa ni pamoja na kupumzika ili kuepusha ajali. Na Mrisho Sadick: Wafanyakazi wawili wa mamlaka ya mapato Tanzania TRA mkoa wa Mwanza wamefariki Dunia katika ajali mkoani Geita wakati wakitokea Mutukula Mkoani Kagera…

7 July 2025, 12:59

Zaidi ya milioni 800 kutolewa kwa vikundi 71 Kigoma

Vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu wametakiwa kutumia mikopo inayotolewa na Halmashauri kutumia mikopo hiyo kwa malengo yaliyokusudiwa. Na Mwandishi Zaidi ya shilingi milioni 800 zinatarajia kutolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma kwa vikundi 71 vya wajasiliamali…

28 June 2025, 5:32 pm

Wanufaika wa TASAF wammwagia maua Rais Samia

Picha ya pamoja ya viongozi wa serikali na wanufaika wa TASAF. Picha na Samwel Mbugi “Tupende kuwashukuru viongozi na mama Samia” Na Samwel Mbugi Baadhi ya wanufaika wa mfuko wa kaya masikini  TASAF wametoa shukurani kwa rais wa jamhuri ya…