Sibuka FM

Jamii

3 June 2025, 19:14

Wananchi waomba vivuko ujenzi wa barabara Mbeya

Wananchi wa Mbeya walia na ukosefu wa vivuko salama wakati ujenzi wa barabara ya njia nne ukiendelea Na Samwel Mpogole Wakati ujenzi Barabara ya njia nne ukiendelea jijini Mbeya, Baadhi ya wananchi wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya  njia mbadala ikiwemo…

30 May 2025, 7:20 pm

CCM waondoka kifua mbele Dodoma, tayari kwa ushindi

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Chama Cha Mapinduzi kimesema Wajumbe wake wa Mkutano Mkuu wa Taifa , wanaondoka katika Jiji la Dodoma huku wakiwa wamebeba matumaini ya kupata ushindi kuliko wakati wowote. Mamia ya Wajumbe hao toka Mikoa ya Tanzania Bara…

28 May 2025, 7:51 pm

TAKUKURU Simiyu yaokoa bilion 6 kwenye sekta ya elimu

“Kumaliza rushwa hapa nchini ni changamoto kubwa sana maana hata watumishi umma waliokula kiapo cha uaminifu ndiyo wanakuwa watu na viongozi wa kwanza katika kutekeleza ubadhilifu wa mali za umma halafu hao hao ndiyo wanahimiza uzalendo haya ni maajabu kweli”.…

27 May 2025, 11:19 am

Sangamwalugesha yaomba kujengewa soko la kisasa

“Uchumi wetu unajengwa na wajasiliamali wadogo wadogo hivyo tuna kila sababu kwa mamlaka husika kuwatengenezea mazingira mazuri ya wao kufanya biashara ikiwemo miundombinu ya masoko pamoja na kuangalia tozo ambazo hazina afya kwa wafanyabiashara”. Na, Daniel Manyanga Kukosekana kwa soko…

24 May 2025, 8:25 pm

Wananchi wa Mwamashindike walia na ubovu wa barabara

“Sekta ya miundombinu ya barabara ni Moja kati ya ajenda muhimu Sana kwa ustawi wa jamii yetu maana ndiyo inayotumika kusafirishia mazao mbalimbali kutoka huko kijijini kuja sehemu za masoko lakini ikitaka kufungua uchumi wako lazima Kwanza ufungue barabara zako…

21 May 2025, 4:02 pm

Katakata ya umeme Simiyu yawaibua wananchi

‘‘Tunahitaji nishati ya umeme ya kutosha mahitaji yetu ni kweli juhudi ni kubwa sana zinazofanywa na kiongozi wetu mkuu wa nchi hii Rais ,Mhe,Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa kutosha ili waweze kuongeza uzalishaji mali na kujiongezea…

21 May 2025, 10:29 am

Makonda achagua Jimbo la Arusha Mjini

Na Joel Headman Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amewahamasisha wananchi kujitokeza kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Ametoa hamasa hiyo Jumatatu Mei 20, 2025 kwenye kituo cha kuandikisha wapiga kura kilichopo kwenye Hospitali ya…

20 May 2025, 5:08 pm

UVCCM Maswa kuwaunga mkono vijana uchaguzi mkuu

‘‘Vijana ni nguvu kazi ya taifa hili hatupaswi kabisa kuwa tunalalamika kulingana na viongozi wetu ambao tuliwaamini tukawapa kura za kuwa wawakilishi wetu kwenye vyombo vya maamuzi kwa sheria za nchi hii unaruhusiwa kugombea udiwani,ubunge kuanzia miaka 21 hivyo vijana…

May 17, 2025, 2:15 pm

Waliopata ujauzito wakiwa shule kusaidiwa kiuchumi

Shirika la Meremeta chini ya Mkurugenzi wake Ndg. Justine Damiano Mbizi limesema linawasaidia kuwainua kiuchumi watoto wa kike waliopata ujauzito wakiwa shuleni kwa kuwapatia mitaji pamoja na kuwarudisha shuleni pale inapowezekana. Na: Sharifat Shinji Mkurugezi wa shirika la Meremeta Mkoa…

15 May 2025, 15:52

Baraza la madiwani lampongeza Rais Samia kwa uongozi wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa pongezi na kuchangiwa fedha kwa ajili kuchukua fomu ya kugombea Urais baada ya kazi yake iliyotukuka katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila Baraza la Madiwani…

9 May 2025, 10:45

CHADEMA kushushia rungu wanachama wasaliti Kasulu

“misingi inayoendelea kuwekwa na chama cha chadema ni misingi inayorudisha uhai wa chama hicho kwa asilimia kubwa” Na Mwandishi wetu Chama cha Demokrasia na maendeleo  Chadema wilayani kasulu kupitia Kikao cha baraza la mashauriano  ambacho kimeshirikisha viongozi mbali mbali wa…

3 May 2025, 8:14 pm

Bei ya pamba bado ni kitendawili kwa wakulima

‘‘Nani atamfunga Paka kengele? Je nani ambaye ataziona nguvu za wakulima wa zao la pamba wanapohangaika wakati wa kilimo hivi hatuwezi kuwa na soko huria ili kuipa thamani pamba yetu maana naona kabisa vita vya Panzi furaha ya Kunguru anayeumia…

1 May 2025, 5:47 pm

Wafanyabiashara Maswa wakana kuchangishwa fedha za nyumba ya DC

“Jumuiya ya wafanyabiashara(TTCIA)wilayani Maswa mkoani Simiyu wameonya nakutotaka jina lao kutumiwa na  watu kwa maslahi yao binafsi,hali inayowachonganisha wao na watendaji wa Serikali Wilayani hapo”. Na,Alex Sayi-Maswa Simiyu Jumuiya ya wafanyabiashara wilayani Maswa mkoani Simiyu(TTCIA) wamekanusha taarifa zilizotolewa mitandaoni kwenye…

24 April 2025, 6:40 pm

Jela miaka 30, fidia laki mbili kwa kuzini na mwanae wa damu

“Nafikiri bado kuna kila sababu kwa mamlaka zilizopewa kutunga sheria kukaa tena chini kuziangalia upya hizi sheria zetu maana haiwezekani kila kukicha matukio ya ukatili wa kinjisia yanatokea licha ya wahusika kuhukumiwa kutumikia adhabu ya kifungo kama itawezekana adhabu ya…

15 April 2025, 8:42 pm

Jela miaka 30 kwa kubaka mwanafunzi Maswa

“Matukio ya ubakaji yamekuwa yakiongezeka kila siku, je, jamii yetu haina uelewa wa madhara kwa mhanga au sheria zetu hazina ukali wa kumaliza kesi hizi kama ni hivyo basi kuna kila sababu sasa kwa mamlaka husika kukaa chini na kuziangalia…