Sengerema FM

mauaji

7 March 2024, 10:33 pm

Amuua kwa madai ya kugoma kurudiana nae

Matukio ya wanadoa kutarakiana wakiwa wanapendana yamekuwa chanzo cha mauaji kwa wanawake kutokana na wanaume kushindwa kuvumilia hali hiyo, ambapo kwa wilaya ya Sengerema zaidi ya matukio matatu yametokea kwa mwaka huu. Na:Emmanuel Twimanye. Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka…

1 February 2024, 3:12 pm

37 wakutwa na kipindupindu Sengerema

Licha ya SerikaliĀ kutoa vifaa tiba na kinga vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 7 kwenye mikoa mitatu ya Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu pamoja na dawa za kutibu maji kwa kuua wadudu wenye vimelea…

30 January 2024, 2:13 pm

Taka zarundikwa kwenye makazi ya watu mjini Sengerema

Mji wa Sengerema kwa mda mrefu umekuwa ukionekana kuwa na mrundikano wa uchafu kwenye vizimba vilivyopo mjini ambapo Halmashauri imekuwa ikitumia vibarua kuzizoa na baadhi yao wamekuwa wakitoa kwenye vizimba na kwenda kuzimwaga kwenye makazi ya watu. Na:Emmanuel Twimanye Wakazi…

23 January 2024, 9:42 pm

DC Sengerema ageuka mbongo murundikano wa uchafu mjini

Pamoja na kuwepo kwa taarifa za ugonjwa wa kipindupindu Nchini Madampo mjini Sengerema yanaonekana kujaa uchafu hali inayoleta wasiwasi kwa wananchi wakihofia kukumbwa na mlipuko wa ugonjwa huo. Na;Emmanuel Twimanye. Wafanyabishara wa soko kuu mjini Sengerema wameilalamikia Halmshauri ya Wilaya…

10 January 2024, 6:25 pm

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhali ya kipindupindu

Changamoto ya kipindupindu imetajwa kuenea kwa kasi zaidi hasa kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa ikianzia katika wilaya ya Bariadi mkoa wa Simiyu, ambapo mpaka sasa katika mkoa wa Mwanza wamebainika wagonjwa wa kipindupindu 27 kwenye maeneo ya wilaya ya…

9 January 2024, 8:43 am

Mwanamke akutwa amefariki kitandani kwake

Matukio ya watu kukutwa wamefariki Dunia yanazidi kushika kasi wilayani Sengerema ambapo baadhi yao wanadai yanasababishwa na msongo wa mawazo pamoja na ugumu wa maisha kwa watu jambo lililopelekea mwenyekiti wa mtaa wa Migombani wilayani hapo kuwataka wananchi kuwa na…

25 October 2023, 6:54 pm

Taka zazua taharuki kwa wakazi wa Mission Sengerema

Kwa muda mrefu sasa Halmashauri ya Sengerema imekuwa ikikabiliwa na changamoto la murundikano wa taka kwenye vizimba vya taka vilivyopo maeneo mbalimbali mjini, jambo hili limepelekea baadhi ya wafanya usafi kuzoa kwenye vizimba na kwenda kuzitelekeza kwenye makazi ya waatu…

5 July 2023, 11:51 am

Serikali yaboresha huduma za afya Sengerema vijijini

Kufuatia baadhi ya watu katika jamiii kuamini imani za kishirikina na kuamini zaidi waganga wa jadi, serikali imeanza kuboresha huduma za afya nchini. Na: Elisha Magege Kufuatia kuwepo kwa maabara kwenye zahanati ya Mayuya iliyopo kata ya Tabaruka halmashauri ya…