Ruangwa FM

Kaspar Mmuya ashinda kwa kishindo kura za Maoni Ruangwa

4 August 2025, 11:27 pm

Mgombea wa Ubunge CCM, Kaspar Kaspar Mmuya, ameibuka kidedea katika kura za maoni jimbo la Ruangwa, akijizolea kura 5,966 kati ya kura halali 9,547, leo Agosti 4.

Mmuya amewashinda wapinzani wake watatu kwa mbali ikiwa ni

  • Fikiri Boniface Liganga (1,591 kura)
  • Bakari Kalembo Nampenya (1,035 kura)
  • Philip Undile Makota (660 kura)

Ushindi huu unaimarisha nafasi ya Mmuya kupeperusha bendera ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu october mwaka huu