Ruangwa FM
Ruangwa FM
08/12/2022, 03:42
Kuelekea maadhimisho ya siku wa Uhuru Tanzania Watumishi wilayani ruangwa wamejumuika na wananchi wa wilaya hiyo kwenye Bonanza maalumu la Michezo lilofanyika usiku wa taraehe 8/12/2022 katika uwanja wa Majaliwa Wilayani humo.
Ambapo katika mchezo wa mpira wa miguu wa timu ya wanawake Wajasiriamali na watumishi ulimalizika kwa Watumishi kufungwa magoli 3 kwa 0.
MIAKA 61 YA UHURU: AMANI NA UMOJA NI NGUZO YA MAENDELEO YETU.